srinavas
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,195
- 4,013
Habarini ndugu zangu.
Leo ningependa tu kujua kuwa ni nini haswa umuhimu wa hzi tuzo zinazotolewa?
Je , baada ya kupewa tuzo huwa unapewa na pesa kidogo?
Je, nauli ya kwenda huko marekani kuchukua tuzo huwa wasanii wanapewa na nani?? Pesa ya kukaa huko je , malazi na chakula. Ni nani anagharamia?
Je mbona sielewi. Mara juzi kapewa dianond na harmonoze tuzo , leo tena tunaambiwa tupige kura , kwani hizi tuzo huwa zinatolewa mara ngapi??
Na mwisho kabisa , mbna naona ni vichekesho sana kwa baadhi ya watu kupewa tuzo au kugombania tuzo. Sasa mtu kama dj d ommy ndio nani? Je huyo harmonoze, rayvany , yaani kwa ufupi nakuwa sielewi na najionea mapicha picha tu..
Naombeni msaada wa kunielewesha tafadhali. Maana mm ni kama sielewi haya mambo yanavyoenda..
Thanks in advance.