Mafanikio yana gharama zake. Sio hadithi kma wanavyosimilia kirahisiBaba aliniambia , utajiri sio mchezo , alinipa ahadi ataniambia siri ya utajiri ila nisithubutu ! Akafariki kabla ya kunieleza ! Namkumbuka sana kwani japo hakunieleza ila kweli nimeshuhudia utajiri sio mchezo ! Ni mwendo wa "kuthubutu"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hichi kitu mkuu huwa kinaleta majonzi xana
Josephine we're still r-memberingNamkumbuka rafiki angu Josephine alikuwa akinipitia tuende kanisani. Ndiye alikuwa best friend kimtaani.....
Usiku mmoja nikapata taarifa ya msiba wake. I was shocked kwa kweli sbb aliumwa malaria tu 😢😢 aisee that night was very bad.
May your soul continue resting in Paradise J wangu.
Mwanga wa milele uwaangazie marehemu wote wapumzike kwa amani 🙏
Tulio wai kupoteza watu waliochangia leo kuwa kama tulivyo.
Wana Jf.
Katika kuishi tunakutana na watu wengi sana lakini wapo watu ambao kamwe hatuwezi kuwasahau pindi wanapo tangulia mbele ya haki (kifo).
Hii ni kutokana na sababu nyingi zikiwemo ukaribu, urafiki, undugu pengine Mahusiano yetu na matendo yao.
Nakumbuka Anko alifariki wiki 1 tu baada ya kuanza matibabu ya mkono wangu uliokuwa umevujika! Aliniacha bado sijapona ukweli niliumia na kulia sana japo haikubadili uhalisia.
nakukumbuka Anko X!
Japo nilipona badae ashukuliwe Mungu!
Karibuni wanajamvi kwa kile ulichowai kutendewa au kutenda kwa mtu ambaye hayupo duniani! Kupitia hilo ndio linakufanya umukumbuke!
Mtende!Nakumbuka mke wanmdogo wangu,(Wifi yangu), sh was my best friend,my sister and a family member we never had before
Mara baada ya kujifungua watoto mapacha wa kiume alipata complications za BP n moyo, nakumbuka siku yake ya mwisho alinitumia text mida ya saa tano nikiwa ofisini, ilikua jumatatu February 10, 2020 akaniambia "wifi naomba uj hospitali nahitaji Sana kukuona, acha kila unachofanya chukua pikipiki uje"
Nilifunga laptop niakondoka huku moyo wangu una hofu Sana, nikiwa njiani kwenye pikipiki akanipigia akaniambia wifi ninunulie maji ya baridi Sana, nami nikafanya Kama alivoagiza
Nilipofika hospitali ya Lugalo nikamkuta amekaa kitandani na mapigo yake yanaenda mbio Sana, aliponiona akatabasamu Ila miminikaanza Julia maana sikuwahi kumwona akiw akatika Hali ya kuhem akwa tabu namna Ile
Akaniambia "wifinimefurahi Sana kukuona, wewe ni mtu pekee nakuamini kuliko hata mama yangu mzazi, nimechoka kuumwa nahitaji kufa, kinachonipa furaha ni kwamba hata nikifa muda huu najua utawalea wangu vizuri, usimruhusu mama yangu aondoke na wangu naomba uwalee katik amikono yako, Mungu akutie nguvu na akuzidishie kila ulipogoa kwa ajili yangu na wangu"
Alipomaliza kusema hayo maneno akaubusu mkono wangu halafu akakataa roho right infornt of me
Ni miezi miwili Sasa imepita, ninebaki na watoto mapacha nawalea Kam alivoagiza, I really miss her, I wish she could be here aone watoto walivyokua wakubwa na afya njema tena handsome boys
Honestly siwezi kusahau,Kila nikilala namwona wifi mbele yangu anatabasamu, sijui Kama ni Jambo jepesi kwangu kusahau
Nashukuru Mungu kwa kuwa watoto wanaendelea na afaya nzuri, na tar 21 mwezi huu wanatimiza miezi mitatu kamili
May her soul rest in Eternal peace, Amen
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole na hongera, jitahidi kupambana nao ikitokea ukishindwa uwezo kabisa usisite kuomba support kwetu wana jf.Nakumbuka mke wanmdogo wangu,(Wifi yangu), sh was my best friend,my sister and a family member we never had before
Mara baada ya kujifungua watoto mapacha wa kiume alipata complications za BP n moyo, nakumbuka siku yake ya mwisho alinitumia text mida ya saa tano nikiwa ofisini, ilikua jumatatu February 10, 2020 akaniambia "wifi naomba uj hospitali nahitaji Sana kukuona, acha kila unachofanya chukua pikipiki uje"
Nilifunga laptop niakondoka huku moyo wangu una hofu Sana, nikiwa njiani kwenye pikipiki akanipigia akaniambia wifi ninunulie maji ya baridi Sana, nami nikafanya Kama alivoagiza
Nilipofika hospitali ya Lugalo nikamkuta amekaa kitandani na mapigo yake yanaenda mbio Sana, aliponiona akatabasamu Ila miminikaanza Julia maana sikuwahi kumwona akiw akatika Hali ya kuhem akwa tabu namna Ile
Akaniambia "wifinimefurahi Sana kukuona, wewe ni mtu pekee nakuamini kuliko hata mama yangu mzazi, nimechoka kuumwa nahitaji kufa, kinachonipa furaha ni kwamba hata nikifa muda huu najua utawalea wangu vizuri, usimruhusu mama yangu aondoke na wangu naomba uwalee katik amikono yako, Mungu akutie nguvu na akuzidishie kila ulipogoa kwa ajili yangu na wangu"
Alipomaliza kusema hayo maneno akaubusu mkono wangu halafu akakataa roho right infornt of me
Ni miezi miwili Sasa imepita, ninebaki na watoto mapacha nawalea Kam alivoagiza, I really miss her, I wish she could be here aone watoto walivyokua wakubwa na afya njema tena handsome boys
Honestly siwezi kusahau,Kila nikilala namwona wifi mbele yangu anatabasamu, sijui Kama ni Jambo jepesi kwangu kusahau
Nashukuru Mungu kwa kuwa watoto wanaendelea na afaya nzuri, na tar 21 mwezi huu wanatimiza miezi mitatu kamili
May her soul rest in Eternal peace, Amen
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulio wai kupoteza watu waliochangia leo kuwa kama tulivyo.
Wana Jf.
Katika kuishi tunakutana na watu wengi sana lakini wapo watu ambao kamwe hatuwezi kuwasahau pindi wanapo tangulia mbele ya haki (kifo).
Hii ni kutokana na sababu nyingi zikiwemo ukaribu, urafiki, undugu pengine Mahusiano yetu na matendo yao.
Nakumbuka Anko alifariki wiki 1 tu baada ya kuanza matibabu ya mkono wangu uliokuwa umevujika! Aliniacha bado sijapona ukweli niliumia na kulia sana japo haikubadili uhalisia.
nakukumbuka Anko X!
Japo nilipona badae ashukuliwe Mungu!
Karibuni wanajamvi kwa kile ulichowai kutendewa au kutenda kwa mtu ambaye hayupo duniani! Kupitia hilo ndio linakufanya umukumbuke!
kwanini wazazi wako walikuwa hawakusomeshi?Naikumbuka kauli moja aliniambia marehemu baba yangu mdogo aliyenilea toka nikiwa na miaka 6 na yy akiwa bado bachelor..
Ilikuwa likizo fupi ya July nikiwa Form6 tukiwa tunatembea "ALINIAMBIA RAFIKI YANGU MWEZI HUU WA 7 NI MGUMU SANA KUPATIKANA HELA ILA CHA KUMSHUKURU MUNGU NI KUWA TUMESHAMALIZA DENI LOTE LA ADA HUDAIWI HATA 100 HIVYO HATA IKITOKEA MUNGU AKANICHUKUA GHAFLA NAAMINI UTAMALIZA SHULE,KAMA WATAKAOBAKI DUNIANI WATASHINDWA KUKUPA POCKET MONEY MM JUKUMU LANGU HAPA DUNIANI NITAKUWA NIMEMALIZA" Ikumbukwe nilikuwa nasoma Private tena Boarding Midlands high school.
Ilikuwa kama mazungumzo tu but usiku wa September 2006 yaani miezi 2 baada ya kauli ile baba yangu mdogo kweli alifariki ghafla usiku wa kuamkia J2 huku nikiwa na appointment ya kuonana naye nyumbani kwa ajili ya kwenda kuchukua Pocket money so nilienda msibani.
Naumiaga sana kila nikikumbuka kauli hii lakini zaidi nikikumbuka mapenzi na malezi aliyonipa baba yangu mdogo kunilea mpaka nimekuwa mtu mxima wa kumaliza kidato cha 6...
Ndugu zangu sio kazi ndogo kumlea mtoto wa kaka yako ukiwa bachelor na akiwa mdogo wa miaka 6 huku baba na mama yake wapo hai..Ni mapenzi mazito sana.
Mola akufutie madhambi yote baba yangu mdogo S.A.R Huko kaburini na kesho siku ya kiama.Amin.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtende!
Binafsi nimeguswa sana. More pain.
Mungu akutie nguvu na uzma watoto wakulie chini ya kimvuli cha shangazi yao! Long live!
Pole na hongera, jitahidi kupambana nao ikitokea ukishindwa uwezo kabisa usisite kuomba support kwetu wana jf.
Sent using Jamii Forums mobile app