Siku chache baada ya tajiri mkubwa duniani kukamilisha ndoto yake ya kumiliki mtandao wa twita wengi wetu ambao hizo namba tunaona ni pesa za kawaida ila sio hivyo kwani tukija mezani unagundua hiyo pesa ya twita tu mwamba Elon musk akiamua tumia bilioni kila siku kwenye matumizi yake, kula kuvaa kuhonga, new ride kila siku wazee wa land cruiser Sasa hapo mchizi anaweza nunua lc 300 kila siku.
Yaani kifupi budget ya 1 bilion per day for the next 274yrs yes Ni miaka 274 ndo pesa hio itaisha kwa budget ya 1 bilion per day dah!
Hio budget wazee wa mbususu Sasa hio hela inatosha nunua mbususu zote za Dar, yes namaanisha mbususu zote za Dar unaweza nunua kwa miaka 274 ijayo.
Mimi Nina 5m bank na nimelala leo nimeridhika kabisa na haya maisha.