Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
we unacho farkhina?Vinapendeza kwa kweli kama freckles
mvuto...[emoji4] [emoji4]Nadhani vinaongeza mvuto flani hivi hasa vikiwa kwenye vimashavu au pembeni ya midomo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata mimi sijui ila utamuona mwanamke akishakuwa nacho anavyojisikia utadhani ana miliki Mercedes Benz CLS 500..
mvuto...[emoji4] [emoji4]
kama kweli vile..mi na binti mwingine jirani tunavyo usoni ni wapoleMoja kati ya uspesho wa watu hao ni upole na busara
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata mimi sijui ila utamuona mwanamke akishakuwa nacho anavyojisikia utadhani ana miliki Mercedes Benz CLS 500..
ndio..Vipi ndugu na wewe ni miongoni mwa waliobahatika kuwa navyo???
ndioVipi ndugu na wewe ni miongoni mwa waliobahatika kuwa navyo???
ndio..
we unacho farkhina?
beauty spot ni beauty marks..Hapa naona umechanganya vinavyoitwa spot beauty na skin mole, kile cha kidoti ni skin mole na vilivyoko kwenye pics ulizoweka ni spot beauty.
πππHata mimi sijui ila utamuona mwanamke akishakuwa nacho anavyojisikia utadhani ana miliki Mercedes Benz CLS 500..