Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Ni wachache sana wanabahatika kuwa navy usoni...ni vidude flani vigumu vyeusi umbo dogo kama punje ya mtama.
Wengine vyao huwa vikubwa..kama jokate kidoti.
Nini maana ya hivi vidude?
Vina uspesho wowote?
Vinahusikaje kwenye kuongeza urembowa mtu hasa kwa wanawake?
wanaume walionavyo usoni je?
Wengine vyao huwa vikubwa..kama jokate kidoti.
Nini maana ya hivi vidude?
Vina uspesho wowote?
Vinahusikaje kwenye kuongeza urembowa mtu hasa kwa wanawake?
wanaume walionavyo usoni je?