Nini utofauti kati ya Landcruiser VX na Landcruiser

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
10,576
Reaction score
16,644
Kama kichwa cha thread kinavyojieleza swali langu ni hasa ni nini tofauti ya Landcruiser vx na Landcruiser GX magari haya hujulikana kwa jina la shangingi.

Na je, huwa yana utofauti wowote wa kiumbo unaoweza kutofautisha hili ni VX na lile ni GX?

Pia inaonekana kama VX linatamba zaidi ya GX, je ni kwa nini?
 
Land cruiser gari zao zinaenda Kwa series, hapo kuna series 70,80,100, 200.

Hii series 200 ndio tumezoea kuita Shangingi/Kilimo Kwanza/ V8. Ndani ya Series 200 kunakuwa na matoleo mbalimbali kutokana na vitu ambavyo gari itakuja nayo.
Hapo kuna Lx,Vx,Gx,Gxl,Zx.
Lx(Luxury)- Hapa gari itakuja na accessories ndani za luxury kama leather seat na mifumo ya burudani.

Vx(Very Luxury)- Hii ina vitu zaidi vya luxury.

Zx- Hii ni zaidi ya luxury kwenye vitu vyake.

Gx(Grand Luxury) Hii ni sport na Kwa ajili ya kazi nzito.

Hayo ni baadhi wadau watakuongezea zaidi ila gari aina moja linaweza likawa na features na accessories tofauti na kufanya yawekwe kwenye grade hizo.
 
Hii series 200 ndio tumezoea kuita Shangingi/Kilimo Kwanza/ V8. Ndani ya Series 200 kunakuwa na matoleo mbalimbali kutokana na vitu ambavyo gari itakuja nayo...
Hizo herufi mkuu kama LX, GX etc zinaonesha body type! Na kuna body ambazo ziko limited kwa series fulani tu.

Kwa mfano, huwezi kuta VX body kwenye 70 series au LX body kwenye 200 series.

Upande wa luxuriousness,
kila series inakuwa na body lake kwa ajili ya luxury na body lingine ambalo Lina standard/common features.

Kwa mfano 100 series
-VX ina common features, luxury version yake ni Amazon
-cygnus ina common features, luxury version yake ni LX 470.
 
Land cruiser gari zao zinaenda Kwa series, hapo kuna series 70,80,100, 200.

Hii series 200 ndio tumezoea kuita Shangingi/Kilimo Kwanza/ V8. Ndani ya Series 200 kunakuwa na matoleo mbalimbali kutokana na vitu ambavyo gari itakuja nayo...
TX?
 
Land cruiser gari zao zinaenda Kwa series, hapo kuna series 70,80,100, 200.

Hii series 200 ndio tumezoea kuita Shangingi/Kilimo Kwanza/ V8. Ndani ya Series 200 kunakuwa na matoleo mbalimbali kutokana na vitu ambavyo gari itakuja nayo.
Hapo kuna Lx,Vx,Gx,Gxl,Zx.
Lx(Luxury)- Hapa gari itakuja na accessories ndani za luxury kama leather seat na mifumo ya burudani.

Vx(Very Luxury)- Hii ina vitu zaidi vya luxury.

Zx- Hii ni zaidi ya luxury kwenye vitu vyake.

Gx(Grand Luxury) Hii ni sport na Kwa ajili ya kazi nzito.

Hayo ni baadhi wadau watakuongezea zaidi ila gari aina moja linaweza likawa na features na accessories tofauti na kufanya yawekwe kwenye grade hizo.
Aha kama nakuelewa kwa mbali ina maana hizi series 70,80,100 ni aina nyingine za Cruiser kama hardtop,prado na nyinginezo ila 200 ni aina mbalimbali za mashangingi,umeniongezea maarifa mimi najuaga tu vx na gx
 
VX ina body kubwa kuliko GX! Yaani VX ni tipwa tipwa halafu GX ni kimbau mbau.
Hii ni vx au gx au ni ipi?
2017_Toyota_Land_Cruiser_(VDJ200R)_GX_wagon_(2018-10-01)_01.jpg
 
Back
Top Bottom