Nini utofauti kati ya Landcruiser VX na Landcruiser

Nini utofauti kati ya Landcruiser VX na Landcruiser

Kwa toyota huu mnyama ndio naukubali zaidi..

Huyu na zile hardtop ni baba moja, mama moja!?
Yes
1605715770677.png
1605715798429.png
1605715820244.png

1605715842615.png
1605715882771.png
 
Land cruiser gari zao zinaenda Kwa series, hapo kuna series 70,80,100, 200.

Hii series 200 ndio tumezoea kuita Shangingi/Kilimo Kwanza/ V8. Ndani ya Series 200 kunakuwa na matoleo mbalimbali kutokana na vitu ambavyo gari itakuja nayo.
Hapo kuna Lx,Vx,Gx,Gxl,Zx.
Lx(Luxury)- Hapa gari itakuja na accessories ndani za luxury kama leather seat na mifumo ya burudani.

Vx(Very Luxury)- Hii ina vitu zaidi vya luxury.

Zx- Hii ni zaidi ya luxury kwenye vitu vyake.

Gx(Grand Luxury) Hii ni sport na Kwa ajili ya kazi nzito.

Hayo ni baadhi wadau watakuongezea zaidi ila gari aina moja linaweza likawa na features na accessories tofauti na kufanya yawekwe kwenye grade hizo.
Kongole
 
H
Haswaa. Ila sio rafiki kwenye barabara zenye kona, unless usiwe speed. Hazikawii kukumwaga kifo cha mende

Kwa toyota huu mnyama ndio naukubali zaidi..

Huyu na zile hardtop ni baba moja, mama moja!?
Hii gari sikujuaga kama ni ndugu yake na hardtop nimegundua majuzi tu utofauti na zile nyingine ni madirisha tu
 
GX sio Luxury mzee bali ni Limited edition ya Landcruiser! Haina Cosmetics zozote zaidi ya basic feautres tu na inakuwa equipped na rugged suspensions, body on frame form factor. GX ni kwa ajili ya kazi sio kuuzia sura
Hata vioo vyake sio vya umeme, ni vile vya mannual za kuzungusha kwa handle
 
Back
Top Bottom