makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kwa toyota huu mnyama ndio naukubali zaidi..Hiyo bado ni headache Mkuu , mashine ni hii View attachment 1629181
Huyu na zile hardtop ni baba moja, mama moja!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa toyota huu mnyama ndio naukubali zaidi..Hiyo bado ni headache Mkuu , mashine ni hii View attachment 1629181
YesKwa toyota huu mnyama ndio naukubali zaidi..
Huyu na zile hardtop ni baba moja, mama moja!?
KongoleLand cruiser gari zao zinaenda Kwa series, hapo kuna series 70,80,100, 200.
Hii series 200 ndio tumezoea kuita Shangingi/Kilimo Kwanza/ V8. Ndani ya Series 200 kunakuwa na matoleo mbalimbali kutokana na vitu ambavyo gari itakuja nayo.
Hapo kuna Lx,Vx,Gx,Gxl,Zx.
Lx(Luxury)- Hapa gari itakuja na accessories ndani za luxury kama leather seat na mifumo ya burudani.
Vx(Very Luxury)- Hii ina vitu zaidi vya luxury.
Zx- Hii ni zaidi ya luxury kwenye vitu vyake.
Gx(Grand Luxury) Hii ni sport na Kwa ajili ya kazi nzito.
Hayo ni baadhi wadau watakuongezea zaidi ila gari aina moja linaweza likawa na features na accessories tofauti na kufanya yawekwe kwenye grade hizo.
Nakubali mkuu,kuna mhindi hua ana fj40 yake ameitunza balaa.Ni vintage hiyo gari kwa sasa
Inaitwaje hiiIla Jamaa wametoka mbali sana miaka ya 90 ukiwa na gari kama hii ulikuwa unaonekana mtu
View attachment 1628505
Land cruiser f60 seriesInaitwaje hii
Okay, nakumbuka kwenye series ya El Chapo zimetumika sana mule.Land cruiser f60 series
Hiyo ni GX. Ngoma ngumuHii ni vx au gx au ni ipi?
View attachment 1628457
Haswaa. Ila sio rafiki kwenye barabara zenye kona, unless usiwe speed. Hazikawii kukumwaga kifo cha mendeKwa toyota huu mnyama ndio naukubali zaidi..
Huyu na zile hardtop ni baba moja, mama moja!?
Du!,we jamaa
Ila zipo bila shaka,tena unaweza kupata mpya kabisa japo zilishaacha kutengenezwa ,inaonekana zimebaki nyingi tuBei ya hii gari sasa hivi haikamatiki kabisaa.
Hardtop hii mkuuHiyo bado ni headache Mkuu , mashine ni hii View attachment 1629181
H
Haswaa. Ila sio rafiki kwenye barabara zenye kona, unless usiwe speed. Hazikawii kukumwaga kifo cha mende
Hii gari sikujuaga kama ni ndugu yake na hardtop nimegundua majuzi tu utofauti na zile nyingine ni madirisha tuKwa toyota huu mnyama ndio naukubali zaidi..
Huyu na zile hardtop ni baba moja, mama moja!?
Eh bana,nashangaa umechelewa kusema wanakuja kukupa muongozo kama ilivyo kawaida yako
Hata vioo vyake sio vya umeme, ni vile vya mannual za kuzungusha kwa handleGX sio Luxury mzee bali ni Limited edition ya Landcruiser! Haina Cosmetics zozote zaidi ya basic feautres tu na inakuwa equipped na rugged suspensions, body on frame form factor. GX ni kwa ajili ya kazi sio kuuzia sura
Mpya ukimaanisha nini jomba?Ila zipo bila shaka,tena unaweza kupata mpya kabisa japo zilishaacha kutengenezwa ,inaonekana zimebaki nyingi tu
Huyu mnyama unakatiza naye barabara yoyoteHata vioo vyake sio vya umeme, ni vile vya mannual za kuzungusha kwa handle
RefurbishedMpya ukimaanisha nini jomba?
Yaani inakuwa kama mpya sio kuukuuRefurbished