Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,130
- 6,097
Kuna series nyingi za Toyota land cruiser kuanzia f20, f30, f60, f70, f80, f90, f100 na F200. Katika matoleo yote f70 ndio toleo la Land cruiser limedumu kwenye uzalishaji mpaka leo na lina maisha bado. Kikubwa pamoja na kubadilika kwa technology ya transmission wao huwa hawana Automatic ni manual transmission tu.Huyu mnyama unakatiza naye barabara yoyote
View attachment 1629571