EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Haiwezekani kuwa "VERY LUXURY"Vx(Very Luxury)- Hii ina vitu zaidi vya luxury.
Weka lugha sahihiHaiwezekani kuwa "VERY LUXURY"
Unatudanganya
VERY LUXURY ni lugha fyongo
Hizo herufi mkuu kama LX, GX etc zinaonesha body type! Na kuna body ambazo ziko limited kwa series fulani tu.Land cruiser gari zao zinaenda Kwa series, hapo kuna series 70,80,100, 200.
Hii series 200 ndio tumezoea kuita Shangingi/Kilimo Kwanza/ V8. Ndani ya Series 200 kunakuwa na matoleo mbalimbali kutokana na vitu ambavyo gari itakuja nayo...
TX?Land cruiser gari zao zinaenda Kwa series, hapo kuna series 70,80,100, 200.
Hii series 200 ndio tumezoea kuita Shangingi/Kilimo Kwanza/ V8. Ndani ya Series 200 kunakuwa na matoleo mbalimbali kutokana na vitu ambavyo gari itakuja nayo...
TX ni prado! Ambayo ipo kwenye series 90, 120 & 150. Japo kuna prado yenye LX body, hii ipo kwenye 70 series.
Weka lugha sahihi
to indicate Very LuxurySijui VX ni kifupi cha nini lakini haiwezi kuwa VERY LUXURY
huyu kachanganyikiwa huyu
HahahaHaiwezekani kuwa "VERY LUXURY"
Unatudanganya
VERY LUXURY ni lugha fyongo
Aha kama nakuelewa kwa mbali ina maana hizi series 70,80,100 ni aina nyingine za Cruiser kama hardtop,prado na nyinginezo ila 200 ni aina mbalimbali za mashangingi,umeniongezea maarifa mimi najuaga tu vx na gxLand cruiser gari zao zinaenda Kwa series, hapo kuna series 70,80,100, 200.
Hii series 200 ndio tumezoea kuita Shangingi/Kilimo Kwanza/ V8. Ndani ya Series 200 kunakuwa na matoleo mbalimbali kutokana na vitu ambavyo gari itakuja nayo.
Hapo kuna Lx,Vx,Gx,Gxl,Zx.
Lx(Luxury)- Hapa gari itakuja na accessories ndani za luxury kama leather seat na mifumo ya burudani.
Vx(Very Luxury)- Hii ina vitu zaidi vya luxury.
Zx- Hii ni zaidi ya luxury kwenye vitu vyake.
Gx(Grand Luxury) Hii ni sport na Kwa ajili ya kazi nzito.
Hayo ni baadhi wadau watakuongezea zaidi ila gari aina moja linaweza likawa na features na accessories tofauti na kufanya yawekwe kwenye grade hizo.
Wabongo tunapenda kuonekana tunajua kila kitu kumbe hatujui!Sijui VX ni kifupi cha nini lakini haiwezi kuwa VERY LUXURY
huyu kachanganyikiwa huyu
Haiwezekani kuwa "VERY LUXURY"
Unatudanganya
VERY LUXURY ni lugha fyongo
Hii ni vx au gx au ni ipi?VX ina body kubwa kuliko GX! Yaani VX ni tipwa tipwa halafu GX ni kimbau mbau.
Mkuu yaani JF siku hizi mpaka uweke picha ujue umehangaika sana zaidi ya mara 6 najaribu kuweka picha inasgindikanaMnakera sana hamjui tu
Nyuzi kama hii inakosaje picha wekeni picha tune utofauti