nini visababisha na tiba kwa mmba wa kichwani!?

nini visababisha na tiba kwa mmba wa kichwani!?

the horticulturist

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
1,959
Reaction score
1,907
Kama habari inavyojieleza mimi ni muhanga wa mmba wa kichwani ingawa napunguza nywele kila wiki,napenda kufahamu chanzo cha mmba kichwani na nini tiba yake kwani nimeshajaribu shampoo,sabuni za asili na hata dawa za hospitalini za kumeza na kupaka ila bado tatizo liko palepale,naombeni kwa anayefahamu zaidi anijuze na iwe pia faida kwa wengine.
Natanguliza shukrani
 
hata mi ningependa kufahamu. Msubiri dokta MziziMkavu aje atupe mawazo yake
 
Last edited by a moderator:
Jaribu kutumia Diproson ya maji au Cream kila siku kupakaa kichwani mara 3 kwa siku itakusaidia kupunguza tatizo. Ila subiria na wengine watachokushauri
 
Back
Top Bottom