Nini wajibu wa chama cha walimu tanzania

Nini wajibu wa chama cha walimu tanzania

Joined
Jan 31, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Ni miaka mingi imepita tangu walipokianzisha miaka ile ya 90 sielewi lengo lao.Je ile ni saccos ya walimu au kinatetea haki za walimu?Walimu wetu wana hali mbaya kwani wengi hawapewi mishahara kamili.Kuna kitu wanaita malimbikizo 'yaani mwajiri kushikilia sehemu ya mshahara wako halafu akulipe siku akipenda.Ni nani mtetezi wa walimu?Ni kwa nini kukatwa%2 ya mshahara kila mwezi lakini hakuna mtetezi? CWT wataacha lini woga.MWISHO Ninavikaribisha vyama vingine kama TNN na UMET ili kuwaamsha hao CWT
 
Wajibu wa chama cha Walimu ni kutetea na kulinda maslahi ya Walimu wote nchini.
 
Hakuna chama cha walimu tanzania wewe kakuambia nani kipo
 
tangu mke wangu aanze kazi amekatwa jumla ya Tsh milioni nne (4)
shida zake ziko pale pale

nakumbuka waliahidiwa mwalimu house ikiisha watakuwa wanlipwa pesa wkt wa majanga, migomo nk
 
Wale jamaa wanakula fedha za wanyonge.Ni waoga na hawataki kujibu hoja za wanachama wao.Hawana maslahi hata mwanachama akistaafu hawamsaidii chochote
 
Back
Top Bottom