Ninja uso kwa uso na Zlatan La Galaxy

Deal done..


Mikia wao wameuza salamba kwenda namungo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1176494
Umeanza kuleta usimba na yanga hadi huku? Wewe na mwakyembe hamna tofauti mnazuia wachezaji wakigeni wasije kwenye ligi yenu huku mnataka wenu waende kwenye ligi za nje
.
Akili za matope
 
Huyo ninja(fiat) anaenda kumuona zlatan(ferrari
 
Kila lakheri Ninja

Timu ya wananchi ni sehemu salama kwä malezi ya kisoka
 
Huku AJIBU anatambulishwa MBUMBUMBU FC afu mwenyewe anacheeeeeeka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…