Ninja uso kwa uso na Zlatan La Galaxy

Ninja uso kwa uso na Zlatan La Galaxy

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Abdallah Shaibu Ninja amewasili Marekani na kujiunga na miamba ya MLS, LA Galaxy ambapo amepata fursa sasa ya kucheza pamoja na gwiji Zlatan Ibrahimovich katika klabu hiyo.
FB_IMG_1565339867385.jpg


KILA LA HERI.
FB_IMG_1565340335853.jpg
FB_IMG_1565340319984.jpg
 
Deal done..


Mikia wao wameuza salamba kwenda namungo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1176494
Umeanza kuleta usimba na yanga hadi huku? Wewe na mwakyembe hamna tofauti mnazuia wachezaji wakigeni wasije kwenye ligi yenu huku mnataka wenu waende kwenye ligi za nje
.
Akili za matope
 
Kila lakheri Ninja

Timu ya wananchi ni sehemu salama kwä malezi ya kisoka
 
Huku AJIBU anatambulishwa MBUMBUMBU FC afu mwenyewe anacheeeeeeka...
 
Back
Top Bottom