Ninunue gari au niwape hela jamaa wafanye biashara?

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Nilikuwa kwenye uzi wa tunaosubiria namba E sasa namba E imetoka nimekuwa na harakati za kutafuta ndinga ya kunifaa ila tatizo linakuja kila ninampomshirikisha mdau ninayemfahamu kuna anayenishauri nimpatie yeye hii pesa afanyie biashara.

Je ni sahihi niachanane na mpango wangu wa kununua ndinga namba E na badala yake niwapatatie wadau pesa wafanyie biashara au niendelee na mishe zangu za kununua ndinga?

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Hivi unaanzaje kumpa mtu hela afanyie biashara ukitegemea atakuletea faida.

Kwenye kiti inaitwa Pesa haina undugu wala ujamaaa hata awe mzazi wako lazima mtafika Mahali mtazinguana. Hilo nakuhakikishia

Kula raha maisha yenyewe mafupi haya
 
Thanks

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa kwenye uzi wa tunaosubiria namba E sasa namba E imetoka nimekuwa na harakati za kutafuta ndinga ya kunifaa ila tatizo linakuja kila ninampomshirikisha mdau ninayemfahamu kuna anayenishauri nimpatie yeye hii pesa afanyie biashara.

Je ni sahihi niachanane na mpango wangu wa kununua ndinga namba E na badala yake niwapatatie wadau pesa wafanyie biashara au niendelee na mishe zangu za kununua ndinga?

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Unaenda kuomba ushauri wa kununua gari kwa mtu ambaye hata baiskeli hana??????

You must be crazy!

Huo ushauri wanaokupatia kwa nini usiwaambie watafute pesa zao ili wafanyie Biashara??????
 
Nilikuwa kwenye uzi wa tunaosubiria namba E sasa namba E imetoka nimekuwa na harakati za kutafuta ndinga ya kunifaa ila tatizo linakuja kila ninampomshirikisha mdau ninayemfahamu kuna anayenishauri nimpatie yeye hii pesa afanyie biashara.

Je ni sahihi niachanane na mpango wangu wa kununua ndinga namba E na badala yake niwapatatie wadau pesa wafanyie biashara au niendelee na mishe zangu za kununua ndinga?

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app

Wanaume ni wachache sana humu duniani, anayenunua gari ni wewe au wadau?
 
Back
Top Bottom