Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Nunua gari tu hio million 5O itayeyuka na hao jamaa mtaishia kupelekana polisi tu
Nilikuwa kwenye uzi wa tunaosubiria namba E sasa namba E imetoka nimekuwa na harakati za kutafuta ndinga ya kunifaa ila tatizo linakuja kila ninampomshirikisha mdau ninayemfahamu kuna anayenishauri nimpatie yeye hii pesa afanyie biashara.
Je ni sahihi niachanane na mpango wangu wa kununua ndinga namba E na badala yake niwapatatie wadau pesa wafanyie biashara au niendelee na mishe zangu za kununua ndinga?
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app