Siyo kwamba hela itaongezeka na nitakuwa na uwezo wa kununua ndika kubwa zaidi?Nunua gari chief, hapo unaenda kupoteza hela yako na uyo mdau unayemfahamu.
Sawa mkuuHauko 'siriaz' mkuu. Vuta ndinga fasta. Siku nyingine uangalie watu wa kushirikisha kwenye mambo yako ya maendeleo
Sana yani..Sahivi biashara hazieleweki mzee. Bora ata ununue tu ndinga.
Nafikiria Subaru Forester XT ila ile ya 2012 bei yake ndo nnayo na ndo nimeipania.Unataka uvute ndinga gani ya namba E hio?
Hivi unaanzaje kumpa mtu hela afanyie biashara ukitegemea atakuletea faida.Nilikuwa kwenye uzi wa tunaosubiria namba E sasa namba E imetoka nimekuwa na harakati za kutafuta ndinga ya kunifaa ila tatizo linakuja kila ninampomshirikisha mdau ninayemfahamu kuna anayenishauri nimpatie yeye hii pesa afanyie biashara.
Je ni sahihi niachanane na mpango wangu wa kununua ndinga namba E na badala yake niwapatatie wadau pesa wafanyie biashara au niendelee na mishe zangu za kununua ndinga?
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Hio ipo fresh kabisa...mzee vuta chuma achana na mambo ya biasharaNafikiria Subaru Forester XT ila ile ya 2012 bei yake ndo nnayo na ndo nimeipania.
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
ThanksHivi unaanzaje kumpa mtu hela afanyie biashara ukitegemea atakuletea faida.
Kwenye kiti inaitwa Pesa haina undugu wala ujamaaa hata awe mzazi wako lazima mtafika Mahali mtazinguana. Hilo nakuhakikishia
Kula raha maisha yenyewe mafupi haya
Shukrani mkuu, sema nao lawamaHio ipo fresh kabisa...mzee vuta chuma achana na mambo ya biashara
Tena mnyama anatakiwa awekwe bunda la HKS huyo .....km 2 wananchi wanakusikia...
Unaenda kuomba ushauri wa kununua gari kwa mtu ambaye hata baiskeli hana??????Nilikuwa kwenye uzi wa tunaosubiria namba E sasa namba E imetoka nimekuwa na harakati za kutafuta ndinga ya kunifaa ila tatizo linakuja kila ninampomshirikisha mdau ninayemfahamu kuna anayenishauri nimpatie yeye hii pesa afanyie biashara.
Je ni sahihi niachanane na mpango wangu wa kununua ndinga namba E na badala yake niwapatatie wadau pesa wafanyie biashara au niendelee na mishe zangu za kununua ndinga?
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Nilikuwa kwenye uzi wa tunaosubiria namba E sasa namba E imetoka nimekuwa na harakati za kutafuta ndinga ya kunifaa ila tatizo linakuja kila ninampomshirikisha mdau ninayemfahamu kuna anayenishauri nimpatie yeye hii pesa afanyie biashara.