Nilikuwa kwenye uzi wa tunaosubiria namba E sasa namba E imetoka nimekuwa na harakati za kutafuta ndinga ya kunifaa ila tatizo linakuja kila ninampomshirikisha mdau ninayemfahamu kuna anayenishauri nimpatie yeye hii pesa afanyie biashara.
Je ni sahihi niachanane na mpango wangu wa kununua ndinga namba E na badala yake niwapatatie wadau pesa wafanyie biashara au niendelee na mishe zangu za kununua ndinga?
Sent from my CPH2059 using
JamiiForums mobile app