Ninunue gari gani kati ya Prado SX vs Hilux Surf

Ninunue gari gani kati ya Prado SX vs Hilux Surf

Medical Dictionary

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,060
Reaction score
309
Habari wana JF. Nina mpango wa kununua gari miezi ijayo mwaka huu. Ninaishi na kufanya kazi offroad. Hivyo nimefikiria kati ya machaguo mawili. Prado SX na Hilux Surf. Je nichukue ipi?

Nipo open kwa machaguo mengine pia.

IMG-20200203-WA0041.jpeg


FB_IMG_1579745091557.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa yaan mimi nawaza kuvuta Subaru na athletic yeye anawaza prado iliyotamba miaka ya tisin!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewaza gari hizo kutokana na mazingira niliyopo. Nadrive offroad 20km daily. Naona hizo mbili ndio zitastahimili. Nimewaza pia Subaru forester new model, lakini baada ya miaka 2 naona itakua imekongoroka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilux Surf Ama Maarufu (Mohammed Dewji)
Hiyo Chombo Iko Sawa Sawa, Mtu Kasema Anaishi Barabara Korofi Watu Wanasema Subaru
 
Kabisa yaan mimi nawaza kuvuta Subaru na athletic yeye anawaza prado iliyotamba miaka ya tisin!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeuliza kwanza ni njia zipi atakuwa anatumia kila siku ili uje na hitimisho lako. After all, sio kila mtu ni fan wa hizo saloons(crown and the like).
 
Back
Top Bottom