Ninunue ipi Toyota Mark X au Crown?

Ewaaa!ths is wht I want asante mtaalam!
 
Kama ni mimi ningenunua camry 2006 model 2.0 vvti. Gari nzuri sana aisee kwanza ni v4
 
Nyie mnamshauri ujinga tu huyu Dogo. Mngemuuliza na kazi anayofanya. Nduo kwanza ni kamwalimu ka mwaka wa kwanza. Kamekimbilia NMB kuchukua mkopo take home sallary imekai 350k mnamshauri achukue Crown. Huyu yake nia Carat,vitz,duet,march kazidi sana IST. Gari anzaotaka ni ndoa za Kikristo hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…