Ninunue ipi Toyota Mark X au Crown?

Lejea kichwa cha habari: Ni nunue ipi kati ya Toyota Crown au Mark X.

na wewe ni wale wale. angalia comment ya preta aliyem quote halafu ujione ulichojibu. preta kamshangaa maana mleta mada kasema anataka kununua na aliye andikiwa na preta kasema uza, wewe pasipo kuelewa unamsahihisha preta
 
Hapa nimekuelewa
 
Okay, nimekuelewa.😱😱😱
 
Wakuu kichwa cha habari chahusika,nataka ninunue moja kati ya hizo gari,ushauri wenu plz based on xperience and technicalities juu ya hizo gari!Asenti!
Acha kufananisha crown na vitu visivyo na hadhi yake
 
AUTOCOM JAPAN- USED CAR EXPORTERS –

MAGARI MAZURI KWA BEI POA

Je unahitaji kuagiza gari toka Japan?

Je unahitaji kupata gari nzuri toka Japan kwa bei nafuu na kwa muda mfupi?

Tafadhali wasiliana nasi ili kuweza kupata utaratibu wa kuagiza gari kwa bei nafuu na kwa muda mfupi zaidi.

Tembelea offisi zetu@ Quality center mall – Nyerere/Pugu road, Dar es salaam

Simu/whatsapp: +255 674 518 707

Email: msuya.autocj@gmail.com : msuya@autocj.co.jp

Website: Japanese Used Cars Stock List | Autocom Japan

KWA SWALI LOLOTE KUHUSU MAGARI NA BEI FROM JAPAN TO EAST AFRICA STATES PLEASE NIPIGIE KWA HIO NO MDA WOWOTE , FEEL FREE.
#
MARK X 2011 , TOTAL PRICE 34 MILLION - FROM JAPAN MPAKA MLANGONI KWAKO ( DAR ES SALAAM)

MARK X 2006, TOTAL PRICE 16.4 MILLION , TO UA DOOR STEP (DAR ES SALAAM)

TOYOTA CROWN 2011 - TOTAL PRICE 43.6MILLION

CROWN 2004 - TOTAL PRICE 16.7MILLION
 
Nakushauri nunua TOYOTA VOLTZ
Mimi niko MOROGORO,nina mpango wa kununua TOYOTA voltz,ila kuna jamaa kanivunja moyo kidogo.
Jamaa kanambia kutokana na uchache wa hizi gari,upatikanaji wa spare utanipa shida kidogo.Bado natafakari kuhusu maamuzi ya kuitwaa hii ndinga.
 
Kwa mtazamo wako ila kwa nijuavyo na ninavyofahamu kwa sasa zipo nyingi na spare zipo,ulaji wake wa mafuta uko chini sana na ukinunua chukua yenye 4WD
 
Kwa kukuweka sawa tu GRX ni Frame number kiongozi, Engine ya Mark X na Crown ni moja yenye code 4GR-FSE
ambayo pia utaikuta kwenye Lexus IS250 current Altezza
 
Great thinker, inapendeza sana unapotolewa ufafanuzi wa aina hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…