Ninunue ipi Toyota Mark X au Crown?

Huwezi jua mkuu, binafsi sina hizo hela kwa sasa! We vipi unazo hizo?

Huoni kuwa ulifanya kama kejeli kunambia kuinunua hiyo lazma tuungane ukoo mzima?
Nikahisi labda na wewe ni sehem ya ukoo kwa hiyo unaujua vyema na mim peke yangu siwezi,labda tuungane watu sijui elfu ngapi hv. Ndo nikarejesha comment ile ile kwako.
Thank you anyway
 
Ni utani tu mkuu sikuwaza kama umr catch feelings aisee, anyways freshi lakini usiwaze!
 
mark ten ni mwendelezo mark two..
ambapo mark 2 imeitwa ivo katika generation 9 ambayo ni mark 2 110..ikipo fika generation ya kumi ikaitwa mark 10 au mark x..
verossa ni generation ya 9 ya cresta na chaser...kwaio mark x haiusian na verossa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…