Ninunue nini ili niwe na kampuni bora ya video production?

talentbrain

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Posts
1,187
Reaction score
760
Habari yenu wanaJF!

Niwatake radhi kwa kuwa too demanding! Nauliza ili nipate kufanya vitu kwa usahihi.
Kama mjasiliamali naeanza, nimekusudia kufungua studio yangu ya video and photo production. Nahitaji kujua vifaa bora vya bei nzuri navyotakiwa kununua ili nianze kazi.
Pliz kwa mwenye ufahamu anisaidie.
 
nadhani kama ww ndio utakuwa director/production manager, cha muhimu zaidi kwenye hii ni ujuzi, maana kwa kiasi kikubwa hiyo ni art. Labda ungejitahidi hata kusoma kwa miezi 6 au mwaka video and visual arts katika chuo kinachoeleweka baada ya hapo....utajua unahitaji nini na utakuwa mfanisi zaidi. Mtaji mkubwa hapo ni ujuzi.....ni mtazamo tu....
 
Nakushukuru kwa ushauri. Ni kwamba nimepata mchongo wa mtaji na nimeona hiyo inaweza kulipa. Sasa sina muda wa kusema nisubiri nisomee kwanza kwani chanzo cha mtaji kinaweza badilisha mawazo. Ninachotaka ni kuwa na vifaa then nisomee.
 
U definitely need a camera, Cannon EOS 7d is probably the best in the market. U definitely need some PC capable of rendering video at the business pace sio uwe na computer ina render wimbo au mkanda wa harusi usiku kucha
Utahitaji software za video editing, sound editing and picture editor, Utahitaji mixer nk.....nk
Mimi ni layman sana ....na sikupaswa hata kukuamdikia hiki ninachoandika but I just wanted to make thread getting started watakuja akina Dully hapa, akina Game first quality watakuambia exactly nini cha kufanya
 
Kwanza inahitaji skills, na si makamera bora.
 
Its true, that camera is a piece of hardware. Pia kwa softwares, I recommend final cut pro ambayo ni ya mac I think its the best. Sidhani kama inahitaj sana kwenda chuo, youtube kuna tutorials za kutosha ambapo kama jamaa yupo makini anaweza kucapture ma knowledge
 
ahsante sana kwa mchango wako kaka. Ninaupeo wa kutosha ktk matumizi ya kompyuta na softwares nyingi. Natambua ntahitaji muda wa kujifunza pale ntakapoona inafaa.
Kwasasa nachohitaji ni mahitaji rasmi ya mradi na gharama zake ili nimalizie business plan yangu kwa kupewa pesa ya kununulia vifaa. If ntahitaji kazi ianze mara moja baada ya kununua vifaa ntaajiri wenye taaluma hiyo.
 
Its true, that camera is a piece of hardware. Pia kwa softwares, I recommend final cut pro ambayo ni ya mac I think its the best. Sidhani kama inahitaj sana kwenda chuo, youtube kuna tutorials za kutosha ambapo kama jamaa yupo makini anaweza kucapture ma knowledge

Ahsante sana kwa mawazo yako ndugu. Tayari napata mwanga.
 
Back
Top Bottom