Ninunue Printer gani nzuri kusafishia picha?

Ninunue Printer gani nzuri kusafishia picha?

nguvu

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
22,976
Reaction score
22,564
Wakuu kuna mtu kaniomba nimnunulie printer potable ya kusafishia picha kwahiyo naomba ushauri ninunue ya aina gani? Bajeti yangu ni laki nane za kitanzania
 
Unauza au? Vipi quality ya picha kwa L810? Kuna mtu mwingine kanishauri L805 kasema ni nzuri na sio mult task
L805 Sio multipurpose yaani haina scanner, wala haina USB/SD options. Pia ni ya kitambo kiasi. Lakini tofauti kwenye printing itakuwa tu kwenye speed, L805 itaprint faster kuliko L850
 
L805 Sio multipurpose yaani haina scanner, wala haina USB/SD options. Pia ni ya kitambo kiasi. Lakini tofauti kwenye printing itakuwa tu kwenye speed, L805 itaprint faster kuliko L850
Binafsi nataka kwaajili ya kusafishia picha tu, sitaki multipurpose. Ipi nyingine ambayo sio multipurpose ambayo ni nzuri kwa quality ya picha?
 
Hii hapa nipatie PESA chapu
IMG_7058.jpg

IMG_7057.jpg

Kazi kwako
 
Kwa picha nzuri za Rangi nakubali sana Epson, kuliko HP
Ukikosa Epson tafuta printer za Cannon.
HP ni nzuri sana kwa kazi za kawaida za ofisini ILA kwa picha tu siifaham vizuri
 
Wakuu kuna mtu kaniomba nimnunulie printer potable ya kusafishia picha kwahiyo naomba ushauri ninunue ya aina gani? Bajeti yangu ni laki nane za kitanzania
Tafuta EPSON AU KONICA MINOLTA
 
Mkuu wengi wananishauri EPSON, tatizo linakuja epson zina namba so sijui ninunue namba ipi
Vipi mkuu umeishapata hiyo printer? Kama bado njoo nikuuzie hii Epson l810, inakufaa sana.nitumie text 0713767579
 
Attachments

  • tmp-cam-1071796600.jpg
    tmp-cam-1071796600.jpg
    23.1 KB · Views: 78
Binafsi nataka kwaajili ya kusafishia picha tu, sitaki multipurpose. Ipi nyingine ambayo sio multipurpose ambayo ni nzuri kwa quality ya picha?

Hii hapa Epson l810,(mpya);pamoja na picha inaprint cd, pvc card na ina USB na Sd. Nitext 0713767579
 
Attachments

  • tmp-cam-177818650.jpg
    tmp-cam-177818650.jpg
    24.4 KB · Views: 73
Back
Top Bottom