Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaada wakuu
Tsh 800, 000/= nimeweka kwenye tangazo mkuuUna bajeti ya kiasi gan
Tsh 800, 000/= nimeweka kwenye tangazo mkuu
Asante mkuuEpson L850 itakufaa
Unauza au? Vipi quality ya picha kwa L810? Kuna mtu mwingine kanishauri L805 kasema ni nzuri na sio mult taskNinayo EPSON L810
L805 Sio multipurpose yaani haina scanner, wala haina USB/SD options. Pia ni ya kitambo kiasi. Lakini tofauti kwenye printing itakuwa tu kwenye speed, L805 itaprint faster kuliko L850Unauza au? Vipi quality ya picha kwa L810? Kuna mtu mwingine kanishauri L805 kasema ni nzuri na sio mult task
Binafsi nataka kwaajili ya kusafishia picha tu, sitaki multipurpose. Ipi nyingine ambayo sio multipurpose ambayo ni nzuri kwa quality ya picha?L805 Sio multipurpose yaani haina scanner, wala haina USB/SD options. Pia ni ya kitambo kiasi. Lakini tofauti kwenye printing itakuwa tu kwenye speed, L805 itaprint faster kuliko L850
Mkuu hii ni kwaajili ya picha? Bei gani hii?
Tafuta EPSON AU KONICA MINOLTAWakuu kuna mtu kaniomba nimnunulie printer potable ya kusafishia picha kwahiyo naomba ushauri ninunue ya aina gani? Bajeti yangu ni laki nane za kitanzania
Mkuu wengi wananishauri EPSON, tatizo linakuja epson zina namba so sijui ninunue namba ipiTafuta EPSON AU KONICA MINOLTA
Vipi mkuu umeishapata hiyo printer? Kama bado njoo nikuuzie hii Epson l810, inakufaa sana.nitumie text 0713767579Mkuu wengi wananishauri EPSON, tatizo linakuja epson zina namba so sijui ninunue namba ipi
Binafsi nataka kwaajili ya kusafishia picha tu, sitaki multipurpose. Ipi nyingine ambayo sio multipurpose ambayo ni nzuri kwa quality ya picha?
Mkuu thanx kwa ushirikiano, nimenunua l805Hii hapa Epson l810,(mpya);pamoja na picha inaprint cd, pvc card na ina USB na Sd. Nitext 0713767579
L805 ni shilingi ngapi mkuu?Mkuu thanx kwa ushirikiano, nimenunua l805