Ninunue Printer gani nzuri kusafishia picha?

Ninunue Printer gani nzuri kusafishia picha?

Umenunua wapi mkuu?
Je ni mpya?
Bei ni nzuri nipe connection nataka Epson L850.
Ukiona L3111 inakufaa njoo nikuuzie kwa laki 3 nimeitumia kidogo nikairudisha kwenye box..pia nina heat press 5 in 1 mpya vyote laki 7.
 
Back
Top Bottom