Ninunue used au niagize japan

Tatizo la hizo noah unazoita new model ni zipi?
 
Nipo sahihi ila kwakua lengo lako uuze sawa ila mama ongeza hela uagize haya ya tandika,manzese na kinondoni hayakufai, CHUKUA HATUA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo sahihi ila kwakua lengo lako uuze sawa ila mama ongeza hela uagize haya ya tandika,manzese na kinondoni hayakufai, CHUKUA HATUA
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekwambia anazo shilingi milioni 8 wewe unamwambia anongeze soma heading kwanza
Ninunue used au niagize japan
Gari toleo la mwaka 2000 au 2010 liwe lipo Japan au Manzese yote ni mamoja kujua kuagiza kupitia Beforward basi muwaibie na wenzenu
weka link yako hapo na dadavua na TRA km hukuvuka Milioni 10
 
Watu wangekuwa hawaagizi kutoka Japan kama used ya tandale na Yokohama yanafanana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wangekuwa hawaagizi kutoka Japan kama used ya tandale na Yokohama yanafanan
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui lolote nimekuwekea Link ya TRA

Motor Vehicle Valuation System

uweke hiyo hesabu yako kwa gari la bure tu ulilopewa huko Japan kuanzia 2000 hadi 2009 ushuru ni 7,000,000/
sasa Mama wa watu ana 8m
wewe unamdanganya kuwa akiagiza Japan sio USED ni jipya
Mwacheni Mama wa watu achague ukweli upo wapi sio kila gari la 1999 -2009 ni jipya hata TRA hawasemi hivyo
 
Hiyo gari yenye ushuru wa 7m ni gari gani? Na aliesema ukiagiza Japan gari ni mpya nani mama usiwe na wasi ushuru wala sio mkubwa kiivyo tena sasa hv shilling inahimarika kwa kasi Leo ni 1usd=2360 wakati last month ilifika 2400+

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Noah unapata mfano hili linauza 5,200,000 kulinunua Japan+kulibeba hadi dar+ clearing wewe utaongeza gharama za tra tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nkubaliana na wewe kama ni kumsaidia huyo Mama anayetaka Noaha ya 8m tumuongoze kunako bei stahili kwa kumsaidia lkn bei ya YA 5.2M bila hata ya CIF na TRA Anadanganya
Gari yako ya Noah nimeifuata Beforward na inapitia hatua 3 (1= kuinunua Japan 2- kuisafirisha 3 - TRA)
BE FORWARD : 2010 TOYOTA Noah
2010 TOYOTA NOAH
DBA-ZRR75G BG172474

DBA-ZRR75G
Current Vehicle Price:$2,020 (TSh 4,737,489) hii ni kwa Japan
CIF$3,631
(Approx. Exchange Price: TSh 8,515,754) hii Dsalaam bado TRA



sasa ukijumisha bei uliyonunulia huko
  • (1 - Japan $2,020 sawa 4,7m)
  • (2 - CIF ya na vikolombwezo vyake gari inafiika kwa $3,631 sawa na 8.5M)
  • (3- ongeza TRA 7.2M)
Noah yako ni 15.7M
 

Attachments

Chombo cha kuagiza ambacho wewe ndiyo unaanza kuwa mmiliki wa kwanza kinapokanyaga ardhi ya bongo ni tofauti kabisa na kununua humu nyumbani....nyumbani hatuaminiki yard nyingi wanapunguza mileage..

Jichange uingie beforward kuna magari mengi sana kule ya bei ndogo lakini unakuwa na amani ukilinunua kuliko hapa nyumbani....nyumbani ni pata potea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu hii hesabu umechukua gari ya 2009 hebu naomba Fanya na ya 2005 kurudi nyuma alafu upost kama ulivyopost
Sent using Jamii Forums mobile app
chin ya 2005 naona inakataa nimeanzia hapo hapo 2005 gharama ya 5,590,000 ni kubwa sana kwa kuliingiza gari hilo hapa Nchini kwa waliochelewa kuyaingiza, wanataka tuingize magari si chini ya miaka 10 tangu yaundwe, eti kupunguza dumping au scraper hata upitishie Bandari ya Mombasa wanakupigia km kawaida ndipo upewe Reg
Kenya wanataka kuweka sheria ya miaka 5 tangu yaundwe,
hapo ndipo nashindwana na hiyo hesabu ya uthaminishaji ambayo ni tofauti na Bei uliyonunulia na CIF
 
ni sawa Mkuu, kwa huyu Mama kwa vile /huenda ni mara ya kwanza atafute km 3m aongezee kama hana atafute gari ndogo zaidi naona hajatupa mrejesho tena huyu Madam Vivian Original
 
Kama kweli unahitajo Noah ya kudumu, nunua aidha LiteAce Noah au TownAce Noah. Zinafaa kwa matumizi yako. Hizi new model na hizi barabara zetu si nzuri sana. Naishia hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noah ni gari lenye usumbufu sana barabarani,trafiki anaweza akapotezea gari zingine ndogo lakni sio Noah,Mfano kutoka dar mpaka Dom utasimamishwa mpaka utahisi umetekwa ndani ya nchi yako , vinginevyo ni gari nzuri,nazungumza kwa uzoefu

[emoji3][emoji3][emoji3]eti kama umetekwa, vp kuhusu Alphard ?
 
Tatizo la hizo noah unazoita new model ni zipi?
hili hapa chini ni moja kati ya majibu zaidi ya 10 ya hizi Noah New Model zinazovutia miguu kwa mbele badala ya Differental
Kama kweli unahitajo Noah ya kudumu, nunua aidha LiteAce Noah au TownAce Noah. Zinafaa kwa matumizi yako. Hizi new model na hizi barabara zetu si nzuri sana. Naishia hapa Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3]eti kama umetekwa, vp kuhusu Alphard ?
bora kidooogo utasamehewa
unajua Noah imekuwa km Daladala hasa huku kwetu Dodoma
hubeba Abiria, mikaa, mifugo, mitumba minadani nk
kwa hiyo licha ya Traffic hata wasafiri watakukimbia pindi ukisimama wapande Moro -Dom au vijijini shunt village
 
Habari Madam,

Ukiingia mfano kwenye mtandao wa www.beforward.jp kuna Toyota Noah za kila aina kwa budget tofauti tofauti

Mfano, kuna noah (Hizi ambazo maeneo mengi ya Dar, na mikoani huzifanya kama daladala)

Ambazo bei zake ni 14.2m (kila kitu hadi barabarani kasoro bima)

Na kuna zile za kawaida-kawaida
Ambazo gharama yake kamili mpaka barabarani (kasoro bima)

Ni 12.5


Unaweza kuagiza Noah hizo kupitia kampuni yetu kutoka mtandao wowote ule japan!

Kwa mfano, Labda umependa Noah hiyo ya 14.2m kulingana na wingi wa majukumu yako ya kila siku. Badala ya kulipia 14.2m

Ukiagiza kupitia kampuni yetu, utalipia 10,650,000 /=

Gari ikifika, unakabidhiwa, 3,550,000 iliyobakia unaimalizia kwa instalment
Yaani 508,000 kila mwezi for 7 months.

Ama labda 'choice' yako ni ya 12.5m
Utatakiwa kulipia 9,375,000/=
3,125,000 iliyobakia
Unaimalizia kwa instalment kwa muda wa miezi saba.

Yaani kila mwwzi TSHS 447,000

NOTE : MALIPO YA INSTALMENT YANAANZA MWEZI MMOJA BAADA YA KUKABIDHIWA GARI YAKO.



riba ni 0.00%

MASHARTI NA VIGEZO KUZINGATIWA.


Semsella Enterprises
P.o.box 63178, Dar es salaam
Shekilango, nhc plot number 242
Block number 1,1F
Call/text/Whatsapp text us 24/7
+255745229947
ecarstanzania@gmail.com
info@ecarstanzania.co.tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…