Habar wakuu,
Nataka ninunue gari aina ya Toyota Noah, kutokana na familia yangu naona Noah itanifaa SNA kwa matumizi ya nyumbani.
Ila pia nilikua navipenda vile vigali vidogo Toyota Ist ila kutokana na familia yangu kubwa naona haitatosha kubeba watu wengi bora nichukue Noah itapendeza zaid.
Swali langu kwenu wakuu,
Ninunue showroom au niagize nje, bajet yangu ni M8, natamani nipate Noah nzuri yenye muonekano mzuri cjui ndo mnaita new model.
Nisaidien mshauri cjawah miliki gari ndo au gari gani nzuri itanifaa SNA kwa pesa yangu, na iwe ya kubeba watu hata 5 HV kuendelea.
Sent using
Jamii Forums mobile app
Habari Madam,
Ukiingia mfano kwenye mtandao wa
www.beforward.jp kuna Toyota Noah za kila aina kwa budget tofauti tofauti
Mfano, kuna noah (Hizi ambazo maeneo mengi ya Dar, na mikoani huzifanya kama daladala)
Ambazo bei zake ni 14.2m (kila kitu hadi barabarani kasoro bima)
Na kuna zile za kawaida-kawaida
Ambazo gharama yake kamili mpaka barabarani (kasoro bima)
Ni 12.5
Unaweza kuagiza Noah hizo kupitia kampuni yetu kutoka mtandao wowote ule japan!
Kwa mfano, Labda umependa Noah hiyo ya 14.2m kulingana na wingi wa majukumu yako ya kila siku. Badala ya kulipia 14.2m
Ukiagiza kupitia kampuni yetu, utalipia 10,650,000 /=
Gari ikifika, unakabidhiwa, 3,550,000 iliyobakia unaimalizia kwa instalment
Yaani 508,000 kila mwezi for 7 months.
Ama labda 'choice' yako ni ya 12.5m
Utatakiwa kulipia 9,375,000/=
3,125,000 iliyobakia
Unaimalizia kwa instalment kwa muda wa miezi saba.
Yaani kila mwwzi TSHS 447,000
NOTE : MALIPO YA INSTALMENT YANAANZA MWEZI MMOJA BAADA YA KUKABIDHIWA GARI YAKO.
riba ni 0.00%
MASHARTI NA VIGEZO KUZINGATIWA.
Semsella Enterprises
P.o.box 63178, Dar es salaam
Shekilango, nhc plot number 242
Block number 1,1F
Call/text/Whatsapp text us 24/7
+255745229947
ecarstanzania@gmail.com
info@ecarstanzania.co.tz
Sent using
Jamii Forums mobile app