OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Mwanamke akikuomba soda achana nayeKwa wakike kusema hiyo ni kawaida kabisa!
Ila mwanaume kumwambia mwanaume mwenzako " ni nunulie soda basai" 🤔🤔
Hujaelewa huu uzi mkuuSwali
Unakuta mtu anakutaftia kazi alf ukipata anakuomba hela ya soda
Kwa ww ulivyosema utamnyima
Au anayemnyima ndio mbinafsi kapewa hata ya kushukuru hamna?
Ngoma droo akiomba soda na wewe unaomba tamuu 😂😂Mwanamke akikuomba soda achana naye
Hiyo ni biashara sasaNgoma droo akiomba soda na wewe unaomba tamuu 😂😂
Nilikula mkahawa mmoja nikiwa kijana(30s),mama mwenye mkahawa akaomba nimnunulie soda alizokua akiuza hapo mkahawani kwake, nilikua navutia sana kipindi kile,hata mke wa anko alikua anataka nimuweke, madem nikitongoza utasikia nilikua naomba Mungu nikupateMwanamke akikuomba soda achana naye
mkahawa ndo kitu gani sheikhNilikula mkahawa mmoja nikiwa kijana(30s),mama mwenye mkahawa akaomba nimnunulie soda alizokua akiuza hapo mkahawani kwake, nilikua navutia sana kipindi kile,hata mke wa anko alikua anataka nimuweke, madem nikitongoza utasikia nilikua naomba Mungu nikupate
Ulikuwa unavutia kipindi kileNilikula mkahawa mmoja nikiwa kijana(30s),mama mwenye mkahawa akaomba nimnunulie soda alizokua akiuza hapo mkahawani kwake, nilikua navutia sana kipindi kile,hata mke wa anko alikua anataka nimuweke, madem nikitongoza utasikia nilikua naomba Mungu nikupate
Bado navutia,mabinti huniangalia mara mbilimbili,japo kidevu kina weupeUlikuwa unavutia kipindi kile
Vp kuhusu sasa 🎤?
Mgahawa,gahawa ni kawaha,wamisri ndiyo huita gahwa,wahuni wale, Jamal wanaita gamalmkahawa ndo kitu gani sheikh
AahBado navutia,mabinti huniangalia mara mbilimbili,japo kidevu kina weupe
Kiswahili kigumumkahawa ndo kitu gani sheikh