"Ninunulie basi soda" ukiona mtu anakuambia hii kauli muogope

"Ninunulie basi soda" ukiona mtu anakuambia hii kauli muogope

Wakuu habari!

Kutoa ni moyo, tenda wema nenda zako, ukimpa mtu kitu usitegemee malipo. Kila mtu anajua hizi kauli za kijamii

Lakini ktk maisha watu ni wabinafsi sana na hawana huruma, wao chao ni chao chako ni cha wote

Mtu asikukute unakula atabeba chakula chote kama vile kanunua yeye na uwezo anao, asikukute unavijipesa atataka umpe kama vile anakudai kumbe hata hakudai, vurugu tupu.

Hawa watu ni wengi sana mtaani hata maofisini wapo, mtu uwezo anao lakini anataka chako japokuwa anajua ni kidogo na uwezo wake ni mkubwa

Mwanaume mzima au bidada ananganga'nia vya watu tena bila aibu anaomba apewe kama vile ni haki yake wakati sio vyake


Ukiona mtu anakuambia ninunulie basi soda awe wa kike au kiume huyo ni mbinafsi usimhulumie kaa naye mbali

Utanishukuru baadae

Nawasilisha
Soda bei gani Mkuu na chakula bei gani Mkuu .

Naweza kushindwa kumnunulia MTU pombe , n.k Ila sio chakula wala soda
 
Nilimkopesha mdada Hela , MIEZi kadhaa , na nilikuwa na mawasiliano nae vizuri tuuu ...majuzi. Nikakamatwa na. HOMONEZIIII NYEGEZEEEEEEEELEEER SI NIKAMPIGIW SIMU HHAHHH KILICHONITOKEA NA KUNIAMBIA YASIYO STAHILI NI HATARIIIIIIIII
 
Sijawahio sitowahi kuomba kununuliwa drink...na sipendi kuombwa kunulilia MTU pombe....japo huwa nanijua sana nikipendawenyewe
 
Back
Top Bottom