Ninyi wafanyabiashara/madalali kuweni makini mnapotaja bei zenu

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
5,929
Reaction score
8,327
Kwa sasa dunia ni kijiji kwa hiyo mteja ana options nyingi.

Unapomtajia bei mteja hakikisha unampa bei ambayo ni reasonable sababu mpaka anakuja kwako may be kaulizia sehemu zingine hata 5 for the same product.

Sasa wewe endelea kuropoka mabei makubwa makubwa wakati wengine wanauza bei ndogo na wanauza bidhaa nyingi.
Usije sema hukushauriwa.

Siku njema kwenu.
 
Kila mtu ana soko lake, kila mtu ana sahani yake, kanunue unapowezi kulipia
 
Huwa sifanyagi biashara za kishamba eti niuze kitu bei fulani kisa mfanyabiashara mwenzangu anauza bei hiyo!mimi huwa naangalia faida yangu tu na bei zangu binafsi!soda mtaani unayonunua 700tsh sehemu nyingine utakuta ni 2500tsh na utalipia fresh tu
 
tatizo wateja wakibongo wanapatana mno kwa kweli, na biashara zeneyewe za kuung unga mtu unaweza jikuta unauza bidhaa bei ulionunulia kama hujawa makini
 
Huwa sifanyagi biashara za kishamba eti niuze kitu bei fulani kisa mfanyabiashara mwenzangu anauza bei hiyo!mimi huwa naangalia faida yangu tu na bei zangu binafsi!soda mtaani unayonunua 700tsh sehemu nyingine utakuta ni 2500tsh na utalipia fresh tu
Kidibwi soda 4000
 
Kwa sasa dunia ni kijiji kwa hiyo mteja ana options nyingi.

Unapomtajia bei mteja hakikisha unampa bei ambayo ni reasonable sababu mpaka anakuja kwako may be kaulizia sehemu zingine hata 5 for the same product.

Sasa wewe endelea kuropoka mabei makubwa makubwa wakati wengine wanauza bei ndogo na wanauza bidhaa nyingi.
Usije sema hukushauriwa.

Siku njema kwenu.
[emoji3516]
MIMI NIKIENDA KARIAKOO,
SINUNUI KITU KIBWEGEBWEGE BILA KUFANYA WINDOW SHOPPING KUANZIA MADUKA 6 MPAKA 9.
 
Back
Top Bottom