dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Kila mtu ana soko lake, kila mtu ana sahani yake, kanunue unapowezi kulipiaKwa sasa dunia ni kijiji kwa hiyo mteja ana options nyingi.
Unapomtajia bei mteja hakikisha unampa bei ambayo ni reasonable sababu mpaka anakuja kwako may be kaulizia sehemu zingine hata 5 for the same product.
Sasa wewe endelea kuropoka mabei makubwa makubwa wakati wengine wanauza bei ndogo na wanauza bidhaa nyingi.
Usije sema hukushauriwa.
Siku njema kwenu.
Sawa dalaliKila mtu ana soko lake, kila mtu ana sahani yake , kanunue unapowezi kulipia
Upo sahihiHuwa sifanyagi biashara za kishamba eti niuze kitu bei fulani kisa mfanyabiashara mwenzangu anauza bei hiyo!mimi huwa naangalia faida yangu tu na bei zangu binafsi!soda mtaani unayonunua 700tsh sehemu nyingine utakuta ni 2500tsh na utalipia fresh tu
Kidibwi soda 4000Huwa sifanyagi biashara za kishamba eti niuze kitu bei fulani kisa mfanyabiashara mwenzangu anauza bei hiyo!mimi huwa naangalia faida yangu tu na bei zangu binafsi!soda mtaani unayonunua 700tsh sehemu nyingine utakuta ni 2500tsh na utalipia fresh tu
[emoji3516]Kwa sasa dunia ni kijiji kwa hiyo mteja ana options nyingi.