Faida kubwa ya kutokunyw pombe ni kuwa mume/mke mzuri na tena mzazi na mlezi mzuri kwa familia yako. Ukijisikia kwenda out, chukua familia yako mkale nyama choma, pombe ina hasara nyingi kuliko faida kaka kuanzia afya yako hadi uchumi.
Wana Jf, ni bia gani ambayo ukiinywa leo kesho hupati hang over?
sio kweli kwamba kama haunywi pombe unakuwa mke /mume mzuri! hiyo takwimu umeipata wapi? kwa taarifa yako kama mtu sio mlevi wa pombe basi atakuwa na kaulivi kengine labda anapenda warembo/mabrazamen N'k.
Kwani lazima unywe pombe ndiyo uonekane wa maana? Mtindio na wenzake wamekueleza; ACHANA KABISA NA BIA.
Faida kubwa ya kutokunyw pombe ni kuwa mume/mke mzuri na tena mzazi na mlezi mzuri kwa familia yako. Ukijisikia kwenda out, chukua familia yako mkale nyama choma, pombe ina hasara nyingi kuliko faida kaka kuanzia afya yako hadi uchumi.
Kunya VALEUR BRANDY ndio kiboko unaamka kama vile jana ulikunywa maji tu, lakini ni kali sana Mkuu
Wana Jf, ni bia gani ambayo ukiinywa leo kesho hupati hang over? Nimebadilisha bia za aina mbali mbali mpaka sasa ila kila nikiamka asubuhi nakuwa na uchovu wa hali ya juu.
Mwanzoni nilikuwa nakunywa safari, baadae Kilimanjaro, sasahivi serengeti.
Wacha longo longo wewe!Faida kubwa ya kutokunyw pombe ni kuwa mume/mke mzuri na tena mzazi na mlezi mzuri kwa familia yako. Ukijisikia kwenda out, chukua familia yako mkale nyama choma, pombe ina hasara nyingi kuliko faida kaka kuanzia afya yako hadi uchumi.
unajua soda inatokana na nini?
mavi.
burlp... hic hic... Piga Tusker Bariiiidi!!!! 3 hakuna Mning'inio wa ziada wala nini... Tafadhali usisikie ushauri wa wanaokuambia uache Bia... Ni tamu asikuambie mtu... bia ina sifa nyingi Drink Beer save Water...Lol
Ndimi Mdau Tusker Bariiiidi...
Una maana maji?