Ninywe bia gani isiyoleta hang over?

Ninywe bia gani isiyoleta hang over?

Wewe ndiye umetafsiri ni kuwafanyia vurugu! Lakini sio hivyo
2009 nilikua hospital najifungua binti yangu wa pili
basi shikamoo..!🤣
yote kwa yote ikiwa tu haunywi halafu ukaja kutoa mchango kwenye mada ya wanaokunywa basi hizo ndio vurugu zenyewe! tuondoke taratibu tu kwenye uzi wa watu kabla hatujazibaka CV zetu tukaonekana vijana wa hovyo!! kama utabaki likikukuta jambo tusitafutane ati "nilikuwa na kenzy"😂
 
basi shikamoo..!🤣
yote kwa yote ikiwa tu haunywi halafu ukaja kutoa mchango kwenye mada ya wanaokunywa basi hizo ndio vurugu zenyewe! tuondoke taratibu tu kwenye uzi wa watu kabla hatujazibaka CV zetu tukaonekana vijana wa hovyo!! kama utabaki likikukuta jambo tusitafutane ati "nilikuwa na kenzy"😂
Ebu nenda huko! Mimi nipo humu na mkwe wangu sumbai
 
Mwili unapambana kukwambia acha kunywa beer sio nzuri kwa afya wewe unapambana kuulazimisha kunywe bia. Sikiliza mwili wako, achana na bia.
 
mh! sijasema haina umuhimu isipokuwa wewe umesema haunywi haoni hata mada tu haikuhusu ephen..? we hujushitukii mama!! hapa ni sawa na kuwafanyia vurugu watu hawa wazima! 2009 ulikuwa wapi kwanza...?
Probably alikuwa bado hajazaliwa
 
Wana Jf, ni bia gani ambayo ukiinywa leo kesho hupati hang over? Nimebadilisha bia za aina mbali mbali mpaka sasa ila kila nikiamka asubuhi nakuwa na uchovu wa hali ya juu.

Mwanzoni nilikuwa nakunywa safari, baadae Kilimanjaro, sasahivi serengeti.
Kunywa yoyote ila isiwe ya baridi
 
Duh, pole sana mkuu.. kunywa banana wine, ile kwanza bei poa then ni ndizi halisi. Enhehee, juzi nimeiona moja iko mbezi pale inaitwa RESPECT! Hazina neno.
Kuna moja inaitwa BUDGET, hio nilikutana nayo Dom.. jaribu na kinywaji flani kinaitwa STRONG MIX, ni kokteli matata
 
Hakuna Bia ambayo haina hang over mkuu
Bia zote zina KILEVI
Hang over inatokana na kilevi ndani ya bia na sio aina ya bia

Bia yenye kilevi kikubwa au most likely itakua na hang over zaidi

Hata hivyo kulingana na tabia ya kimwili ya mtu binafsi kunaweza kusababisha ku experience utofauti wa hang over kati ya bia na bia

Kuthibiti athari za hang over fanya hivi
Hakikisha umekula vizuri kabla ua kuanza kunywa

Ukiisha gida bia zako za kutosha hakikisha unakunywa maji kama lita moja hivi...... utajishukuru asubuhi
Maji ni dawa moja nzuri sana ya hangover kabla hujalala
 
Back
Top Bottom