basi shikamoo..!🤣Wewe ndiye umetafsiri ni kuwafanyia vurugu! Lakini sio hivyo
2009 nilikua hospital najifungua binti yangu wa pili
Ebu nenda huko! Mimi nipo humu na mkwe wangu sumbaibasi shikamoo..!🤣
yote kwa yote ikiwa tu haunywi halafu ukaja kutoa mchango kwenye mada ya wanaokunywa basi hizo ndio vurugu zenyewe! tuondoke taratibu tu kwenye uzi wa watu kabla hatujazibaka CV zetu tukaonekana vijana wa hovyo!! kama utabaki likikukuta jambo tusitafutane ati "nilikuwa na kenzy"😂
Subiri nikatafute uzi mzuri wa zamani nisomesawa lkn nae kasema hanywi nyie inaonekane nyote ni vyura viziwi tu...😂
we kaendeleze tu vurugu zako kama panya anaekula document za zamani.. rungu utakalopigwaSubiri nikatafute uzi mzuri wa zamani nisome
'Old is Gold'
Kwani hawaruhusu? Siwezi kupewa rungu wakati mimi sio mkorofi humuwe kaendeleze tu vurugu zako kama panya anaekula document za zamani.. rungu utakalopigwa
upekuzi mwema..Kwani hawaruhusu? Siwezi kupewa rungu wakati mimi sio mkorofi humu
Probably alikuwa bado hajazaliwamh! sijasema haina umuhimu isipokuwa wewe umesema haunywi haoni hata mada tu haikuhusu ephen..? we hujushitukii mama!! hapa ni sawa na kuwafanyia vurugu watu hawa wazima! 2009 ulikuwa wapi kwanza...?
Kunywa yoyote ila isiwe ya baridiWana Jf, ni bia gani ambayo ukiinywa leo kesho hupati hang over? Nimebadilisha bia za aina mbali mbali mpaka sasa ila kila nikiamka asubuhi nakuwa na uchovu wa hali ya juu.
Mwanzoni nilikuwa nakunywa safari, baadae Kilimanjaro, sasahivi serengeti.
Kuna moja inaitwa BUDGET, hio nilikutana nayo Dom.. jaribu na kinywaji flani kinaitwa STRONG MIX, ni kokteli matataDuh, pole sana mkuu.. kunywa banana wine, ile kwanza bei poa then ni ndizi halisi. Enhehee, juzi nimeiona moja iko mbezi pale inaitwa RESPECT! Hazina neno.