Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
Hivi wanasema hofu yako ndio kifo chako eeh. Ngoja nilifikirie hiliOndoa hofu kijana. Wewe OA tu
Nimecheka balaa, aoe watu gani sasaUsijichanganye ukaoa mwanamke asiyekupenda au kabila la wachaga
UTAJUTA!
Sema wanaofeli ni wengi mbaka Hali inatishaOa kikubwa ishi kwenye misingi yako, usijifunze kwa walio shindwa
Nitajuaje kua hanipendiUsijichanganye ukaoa mwanamke asiyekupenda au kabila la wachaga
UTAJUTA!
Wakuu naombeni ushauri. Nipo njia panda mm kama kijana wa miaka 27 napata ukakasi juu ya mstakabari wa maisha yangu. Saa nyingine navutiwa na kutafuta mwanamke ila saa nyingine nikifikiri mambo Yao kutoka Kwa watu wanao nizinguka Nakata tamaa. Pia nikiangalia Dunia ilichonipa Wala hakina nguvu Kwa Sasa kuniwezesha mimi kuwa na familia. Sasa utata unakuja kama nisipo oa maana yake hata mtoto sitegemei kuwa nae Kwa Sababu sitaki kuwa na mtoto bila ya ndoa kutokana na niliyoyaona kwangu na ninayo yashuhudia kutoka Kwa watoto Wa aina hii. Kwa hiyo wakuu naombeni ushauri nitaishije kama mwanaume bila ya mke wala mtoto

Jaribu Cohabitation. Usije kuoa afu mtu akubadilikieWakuu naombeni ushauri. Nipo njia panda mm kama kijana wa miaka 27 napata ukakasi juu ya mstakabari wa maisha yangu. Saa nyingine navutiwa na kutafuta mwanamke ila saa nyingine nikifikiri mambo Yao kutoka Kwa watu wanao nizinguka Nakata tamaa. Pia nikiangalia Dunia ilichonipa Wala hakina nguvu Kwa Sasa kuniwezesha mimi kuwa na familia. Sasa utata unakuja kama nisipo oa maana yake hata mtoto sitegemei kuwa nae Kwa Sababu sitaki kuwa na mtoto bila ya ndoa kutokana na niliyoyaona kwangu na ninayo yashuhudia kutoka Kwa watoto Wa aina hii. Kwa hiyo wakuu naombeni ushauri nitaishije kama mwanaume bila ya mke wala mtoto
Hivi hili kabila lina shida gani?Usijichanganye ukaoa mwanamke asiyekupenda au kabila la wachaga
UTAJUTA!
Ikitokea mchaga ndiyo kakupendaUsijichanganye ukaoa mwanamke asiyekupenda au kabila la wachaga
UTAJUTA!
Siku ya harusi yake ununue na sanda kabisa ili usisumbue ndugu kuchaga pesa wakati ulionywa mapema.Ikitokea mchaga ndiyo kakupenda
Shida ya mishangazi ya 30's nayo inataka ndoa likuwepo Moja nilikua na reset likawa linaleta ulokole mwingi Lina dai ndoa mm ni kasema nisimbanie riziki Wenda likaolewa cha kushangaza linakuja kugongeka hapa ninapo Kaa. Hafu mashangazi ya 45 na above. Ina watoto wakubwa Kila nikitazama watoto Wao mnasalimia poa tu unachana nayo Ili kukwepa fedhea. Mashangazi mingine ni wake za watu.
Jaribu Cohabitation. Usije kuoa afu mtu akubadilikie
Mishangazi pia ni option[emoji23]
Acha kumdanganya kijana, mwambie tu ukweli kuwa kuna kunyimwa huko huko kwenye ndoaOa.ile kitu ni tamu sana unakuwa unajilia any time you want
Sija komaa kivipi mkuu mbona ni swali poa tu kama maswali mengineKwa akili hiyo na kwa swali uliloliuliza,bora usiowe kwanza,
Subiri ukomae kiakili kwanza,
Maisha ya ndoa sio ya kila mtu.