Nioe au nikache kabisa

Nioe au nikache kabisa

Oa tu mkuu
Masculinity.png
 
Wakuu naombeni ushauri. Nipo njia panda mm kama kijana wa miaka 27 napata ukakasi juu ya mstakabari wa maisha yangu. Saa nyingine navutiwa na kutafuta mwanamke ila saa nyingine nikifikiri mambo Yao kutoka Kwa watu wanao nizinguka Nakata tamaa. Pia nikiangalia Dunia ilichonipa Wala hakina nguvu Kwa Sasa kuniwezesha mimi kuwa na familia. Sasa utata unakuja kama nisipo oa maana yake hata mtoto sitegemei kuwa nae Kwa Sababu sitaki kuwa na mtoto bila ya ndoa kutokana na niliyoyaona kwangu na ninayo yashuhudia kutoka Kwa watoto Wa aina hii. Kwa hiyo wakuu naombeni ushauri nitaishije kama mwanaume bila ya mke wala mtoto
Ndoa ni safari ya majaribio ya chemistry kati ya tabia za watu wawili!

Ndoa sio kaburi la milele kama watumishi wengi wa Mungu wanavyojinasibu!eti kwamba hilo no agano la milele!huo ndio upumbavu ambao watu wanaaminishwa na watumishi na hiyo ndio inawapa kiburi wanawake kuwa wasumbufu!!

Wewe oa na umwambie live kwamba "hakuna umilele kwenye ndoa"tukishindwana unaenda nyumbani kwenu na Mimi naendelea na maisha,sitovumilia ujinga wowote""!!

Oa ukiwa huru na sio mtumwa!!
 
Na Ile ya kugawa 50 Kwa 50
 
Wakuu naombeni ushauri. Nipo njia panda mm kama kijana wa miaka 27 napata ukakasi juu ya mstakabari wa maisha yangu. Saa nyingine navutiwa na kutafuta mwanamke ila saa nyingine nikifikiri mambo Yao kutoka Kwa watu wanao nizinguka Nakata tamaa. Pia nikiangalia Dunia ilichonipa Wala hakina nguvu Kwa Sasa kuniwezesha mimi kuwa na familia. Sasa utata unakuja kama nisipo oa maana yake hata mtoto sitegemei kuwa nae Kwa Sababu sitaki kuwa na mtoto bila ya ndoa kutokana na niliyoyaona kwangu na ninayo yashuhudia kutoka Kwa watoto Wa aina hii. Kwa hiyo wakuu naombeni ushauri nitaishije kama mwanaume bila ya mke wala mtoto
Ndoa ndoano.Aliyendani ya ndoa anataka kuoa na aliyeoa anataka kuacha! Ishi maisha yako na usifuate ya mwingine. Uchaguzi ni wako na ukimchunguza sana bata hutaweza kumla.
 
Any time you want? Wewe utakuwa na pesa sana! Hawahawa akina Hawa ambao tunahonga regardless ya kuwa mkeo!!
 
Shida ya mishangazi ya 30's nayo inataka ndoa likuwepo Moja nilikua na reset likawa linaleta ulokole mwingi Lina dai ndoa mm ni kasema nisimbanie riziki Wenda likaolewa cha kushangaza linakuja kugongeka hapa ninapo Kaa. Hafu mashangazi ya 45 na above. Ina watoto wakubwa Kila nikitazama watoto Wao mnasalimia poa tu unachana nayo Ili kukwepa fedhea. Mashangazi mingine ni wake za watu.
Uzuri wa mishangazi inakopesheka! Hawa akina Hawa wa Alfu mbili Gen Alpha balaa! Term cash before and after use!! Jichanganye done moto wake! Utatamani uitwe Mwakieitiemu!
 
Sema wanaofeli ni wengi mbaka Hali inatisha
Umewahi kusikia wanawake wakisimuliana uchungu was kuzaa? Unauma,haufananishwi na chochote nk. Ila Bado wanazaa na hta wengine wasio na watoto wanatamani kuzaa licha ya story zote kuhusu uchungu was uzazi...
Usijifananishe na yeyote kila mmoja yupo kwa kusudi lake, kikubwa uwe makini katika chaguo
All the best brother 🙏
 
All the best brother [emoji120]
Kwenye kuchagua hapo nilifanya uzembe kwenye early 20's kuchagua. Leo hii mtoto wa miaka ananiambia mm mzee nimejiona kuna Baadhi vitu vimeshanipita
 
Ndio maana mwanzo nikakwambia ishi kwenye misingi yako, wewe ni mwamuzi wa hatma yako uwe Nani,na Nani,wapi na kwawakati gani
 
Back
Top Bottom