Nioe au nikache kabisa

Ndoa ni safari ya majaribio ya chemistry kati ya tabia za watu wawili!

Ndoa sio kaburi la milele kama watumishi wengi wa Mungu wanavyojinasibu!eti kwamba hilo no agano la milele!huo ndio upumbavu ambao watu wanaaminishwa na watumishi na hiyo ndio inawapa kiburi wanawake kuwa wasumbufu!!

Wewe oa na umwambie live kwamba "hakuna umilele kwenye ndoa"tukishindwana unaenda nyumbani kwenu na Mimi naendelea na maisha,sitovumilia ujinga wowote""!!

Oa ukiwa huru na sio mtumwa!!
 
Na Ile ya kugawa 50 Kwa 50
 
Ndoa ndoano.Aliyendani ya ndoa anataka kuoa na aliyeoa anataka kuacha! Ishi maisha yako na usifuate ya mwingine. Uchaguzi ni wako na ukimchunguza sana bata hutaweza kumla.
 
Any time you want? Wewe utakuwa na pesa sana! Hawahawa akina Hawa ambao tunahonga regardless ya kuwa mkeo!!
 
Uzuri wa mishangazi inakopesheka! Hawa akina Hawa wa Alfu mbili Gen Alpha balaa! Term cash before and after use!! Jichanganye done moto wake! Utatamani uitwe Mwakieitiemu!
 
Sema wanaofeli ni wengi mbaka Hali inatisha
Umewahi kusikia wanawake wakisimuliana uchungu was kuzaa? Unauma,haufananishwi na chochote nk. Ila Bado wanazaa na hta wengine wasio na watoto wanatamani kuzaa licha ya story zote kuhusu uchungu was uzazi...
Usijifananishe na yeyote kila mmoja yupo kwa kusudi lake, kikubwa uwe makini katika chaguo
All the best brother πŸ™
 
Kwenye kuchagua hapo nilifanya uzembe kwenye early 20's kuchagua. Leo hii mtoto wa miaka ananiambia mm mzee nimejiona kuna Baadhi vitu vimeshanipita
 
Kwenye kuchagua hapo nilifanya uzembe kwenye early 20's kuchagua. Leo hii mtoto wa miaka ananiambia mm mzee nimejiona kuna Baadhi vitu vimeshanipita
Ndio maana mwanzo nikakwambia ishi kwenye misingi yako, wewe ni mwamuzi wa hatma yako uwe Nani,na Nani,wapi na kwawakati gani
 
Oa ,pata mtoto mmoja , tafuta maisha kilimo kinalipaga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…