madia madia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2017
- 717
- 701
Wacha wee kweli we mzigua basiNingeumia ila ningehakikisha nampata
Njoo nkupime presha hahhaaHapana ,mapigo ya moyo yanaenda mbio mno
Nakimbizwa aga khan na ambulanceNjoo nkupime presha hahhaa
Duuuh mpale wa watu kumbe mnamfanyia hivyoAwatoe wap mtu bahili hvyooo...mpare huyo ata ukimwambia tuma nauli anasema njoo ntakupa hukuhuku kwa mtindo huo lazima akeshe kuwatafuta saizi yake
aaaah moyo huu aaaahNini tena baba
Haha ok nakufata huko hukoNakimbizwa aga khan na ambulance
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Awatoe wap mtu bahili hvyooo...mpare huyo ata ukimwambia tuma nauli anasema njoo ntakupa hukuhuku kwa mtindo huo lazima akeshe kuwatafuta saizi yake
Anamwogopa MshanaaDuuuh mpale wa watu kumbe mnamfanyia hivyo
Si aombe masaada kwa mshana Jr amsaidie dawa ya kuwavuta wenye chura na ya kuwafanya wampende wamfuate alipo
Kwani ukiwa unampenda huwezi kutumia garama zako kumfuata?
Na pia ukitongozwa sana unakasoro utaambiwa unagawa bure...duniani hamna jemaLkn pia msipo tongozwa mnajiona mnakasoro hivi
Anamwogopaje mpale mwezie wakati tatizo lake linatakiwa lipatie ufumbuziAnamwogopa Mshanaa
Kutongozwa sio kugawa mama mpendwaNa pia ukitongozwa sana unakasoro utaambiwa unagawa bure...duniani hamna jema
Wewe mtoto wewe....Thank you boo. Ongea na mimi vizuri labda naweza kukuzimikia pia .
Yan wamekuona unagawa gawa san so kila mtu anataka kujaribuKutongozwa sio kugawa mama mpendwa
Basi utakua umemsaidia sana mwanaume mwenzio fanya hvyooAnamwogopaje mpale mwezie wakati tatizo lake linatakiwa lipatie ufumbuzi
Au anataka nimsaidie dawa za huku Malawi maana kama kwa akili zake ameshindwa najua kwa hili tumsaidie
Ila anasema wewe ni ubavu wake au anadanganya[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Basi utakua umemsaidia sana mwanaume mwenzio fanya hvyoo
Duuhh labda tuko tofauti mm siwezi enda sehemu yenye msitu kwanza naona kinyaaa kiukweliYan wamekuona unagawa gawa san so kila mtu anataka kujaribu