Niokoeni jamani nimeanza kumpenda Mzigua90

Niokoeni jamani nimeanza kumpenda Mzigua90

Awatoe wap mtu bahili hvyooo...mpare huyo ata ukimwambia tuma nauli anasema njoo ntakupa hukuhuku kwa mtindo huo lazima akeshe kuwatafuta saizi yake
Duuuh mpale wa watu kumbe mnamfanyia hivyo

Si aombe masaada kwa mshana Jr amsaidie dawa ya kuwavuta wenye chura na ya kuwafanya wampende wamfuate alipo

Kwani ukiwa unampenda huwezi kutumia garama zako kumfuata?
 
Awatoe wap mtu bahili hvyooo...mpare huyo ata ukimwambia tuma nauli anasema njoo ntakupa hukuhuku kwa mtindo huo lazima akeshe kuwatafuta saizi yake
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Dah.....hata Siku moja usilielie hadharani kusema umempenda mwanamke...ni kosa kubwa sana....Utajutaaa[emoji41] [emoji41] [emoji13]
 
Basi utakua umemsaidia sana mwanaume mwenzio fanya hvyoo
Ila anasema wewe ni ubavu wake au anadanganya[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom