Aisee kumbe sio kazi sana eeh?Haya mambo ya thread thread sio ishu, nenda pm mwambie "bibie nna kisalio hapa nataka nikutumie upate lunch , sijui niitume vipi mama" Mzigua90 nae ana moyo lazma moyo utalegea atakupa namba ukifanya muamala itapendeza, hadi hapo mpira upo ndani ya box. Mnakompliketisha mambo
Sasa hii thread itaishia kukupa likes tu
Ku soundisha nacho kipaji ujueManeno mengi yanakera,siku hizi upo wapi unapitwaa
[emoji15] [emoji15] wenzio ndo wanapenda wanaona mtelezooDuuhh labda tuko tofauti mm siwezi enda sehemu yenye msitu kwanza naona kinyaaa kiukweli
Me siwezi kua na yule kizeeIla anasema wewe ni ubavu wake au anadanganya[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaaaa haya mama mpendwa[emoji15] [emoji15] wenzio ndo wanapenda wanaona mtelezoo
Sio kazi ni kuset tu mipangoAisee kumbe sio kazi sana eeh?
Jiandae kunipokea
Wanasema ng'ombe hazeki maini we unaelewaje huu usemiMe siwezi kua na yule kizee
Basi leo tutakuwa wote hadi kukucheHaujali kabisa umekuja siku moja tu kwangu sikunyingine sijui unashinda wap
Teh teh..Kwa kweliAtakua katumia foma gold mana sio kwa povu hilo
Poa..karibu sanBasi leo tutakuwa wote hadi kukuche
Pamoja na hyo misemo simtakiiiWanasema ng'ombe hazeki maini we unaelewaje huu usemi
Na msemo wa siku hizi wanasema
Wazee wanalea vijana wabahili sana
Na kuna huu mwingine vuna kwa wazee wekeza kwa vijana
We unaonaje hii misemo
Hahaha Slim 5 katika ubora umeona hata hiyo "Churururu" duh nimecheka sn mkuuNdondondo si churururu!
Usiwaamini sana Wahenga!
Sawa ila wanasema mkataa pema pabaya panamwitaPamoja na hyo misemo simtakiii
Ntafutie mmalawi huko niondoke huku tz ye ndo ananichuriaSawa ila wanasema mkataa pema pabaya panamwita
Samahani kwa kukuchosha na maswali ya kimalawi
Mm namkubali sn japo si peke yake nawakubali wengi humu JF ss tatizo alishasema yy wake NgabuNdondondo si churururu ! Ndivyo ilikuwa nianza kwa kupenda michango yake iliyopevuka iliyosheheni mapenzi ya kweli na nia ya utulivu uso kifani,Taratibu dozi ikaanza kuniingia lahaula la kwata nikajaa nikawa bingwa wa kufuatilia post zake kuliko hata navyofuatilia za mshana jr ,deo msando na gudume .
Najileta kwenu waungwana mninusuru kwani nishaona dalili kuwa mzigua90 ataninyanyasa sana kwani mtizamo wake juu ya mahusiano ni hasi na ni dhahiri ni mtu mtemi asieshaurika, na ukiweka na kauzigua (Tanga ndo yalikozaliwa) mimi mnyalu wa watu najiona nikiuza kiwanja cha urithi.
Nafwaa wajameni.
Usijali nitakutafutia ila huku hali ya hewa tofauti na huko tz na maisha ya huku sio kama hukoNtafutie mmalawi huko niondoke huku tz ye ndo ananichuria
Ya huko yapoje?Usijali nitakutafutia ila huku hali ya hewa tofauti na huko tz na maisha ya huku sio kama huko
Niniii.. halafu mi kibibi usiniite mtotoWewe mtoto wewe....
Sijambo ndugu yangu. Za kupotea?Hujambo?
Unatakaje mkuu kumshkia Miguu au [emoji32] [emoji32] [emoji32]Ukikubaliwa usinisahau kwenye ufalme wako