Niokoeni jamani nimeanza kumpenda Mzigua90

Nimecheka sana ile post yako naweza blokiwa hadi ana kwa ana

Mana hawa watu mpaka avue chupi ndo ujue kakubali wana chenga za maudhi khataari sana kama hataki
Hahaha chenga ya mwili.
 
Halafu anayo chura!!....Mimi nikimpata Mzigua ndiyo itapendeza zaidi![emoji28][emoji28][emoji28]
 
Niliituma my dia labda kama wasiojulikana wameiteka? Sure nilituma, kha ningeanzia wapi kutoshukuru?
 
Wakunyumba mwaka wako huh ndugu yangu usipoolewa tunakutoa kafara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…