Niokoeni jamani nimeanza kumpenda Mzigua90

Niokoeni jamani nimeanza kumpenda Mzigua90

Halafu anayo chura!!....Mimi nikimpata Mzigua ndiyo itapendeza zaidi![emoji28][emoji28][emoji28]
 
Niliituma my dia labda kama wasiojulikana wameiteka? Sure nilituma, kha ningeanzia wapi kutoshukuru?
 
Wakunyumba mwaka wako huh ndugu yangu usipoolewa tunakutoa kafara
 
Back
Top Bottom