Niokoeni jamani nimeanza kumpenda Mzigua90

Mzigua ana matatizo ya saikologia
Usijali ni hawa wanaume wakora aliokutana nao ,mimi ntahakikisha kwanza anawasamehe ,kisha nitamtunza kama mboni ya jicho niamini new mzigua90 on the way with bae
 
[emoji2][emoji2][emoji2]
Aisee Kuna Uzi wa Natafuta Mume...
Sasa Jamaa Behaviourist Anatafuta Mwanamke mwenye Chura....
Imethibitishwa Pasipo Shaka....beyond reasonable doubt kuwa Wewe una Chura....
Inna amethibitisha hili so Unagombaniwa on 14th Feb!
Ila Usiwatese wenzio na Chura banana
Jamaa wako Tayari kukulipia kiwanja chochote ukipendacho...coz nasikia we we ni MTU wa Viwanja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…