Niokoeni jamani nimeanza kumpenda Mzigua90

Mpendwa unauhakika hii njia itatick nikutangulizie Advance payment kabisa
 
Kama ana kibamia kweli atanikosa. Kama mashine ipo namkaribisha. Na kwa vile wewe babu upo hakuna litakaloharibika kwenye mahari
Mahari ikiwa poa... utanisamehe... ntaichukua. Asipokuridhisha usijali babu yako nipo nitajua cha kufanya kumaliza kiu yako.

Nshakuwekea link hebu kachangamkie hiyo deal
 
Nakubaliana na wewe. Wengi michango yetu haifanani na sisi. Ila mimi 80% ya michango yangu ni mimi sababu mi mgumu sana kuigiza maisha. Ninachoandika humu kidogo sana simaanishi.
 
Umependa kwa hisia pole ukimuona na ikawa tofauti na hisia zako fanya utaratibu wa kum-pm kwa kutuma picha yako akijiridhisha kuwa mnafanana atakurukia hewani usiutese moyo wako kwa jambo linalo wezekana mkuu
The only fuata huu ushauri basi.
 
Kuuza kiwanja si hoja. Mie naogopa tu kale katabia kenu "WANYALU" ka kukimbilia kamba na kujining'iniza.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…