Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Ngoja nije nikuanzishie uzi kama huuMzigua90 umependwa huku ukuje
Babu hana shida.Chunga sana @Aspirin anakusikia
Jamaa kafa kaoza. Mwaka umeanza vizuri aisee.Utanikosesha mchumba wewe.
Jaribu Airtel money uone.Ngoja nijaribu basi..Wewe ulivyo gaidi..Mtu atapigwa pesa na kulishwa bloku kila sehemu
Unajua lakini nilivyo mroho ntawataka wote.Heeeeee afadhali ata mweza uniachie ivuga au utawamiliki wote? Ulivo na uroho
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
hahahaaa. Hamtaki kabisa nipate mchumba humu jamaniNaskia ana mkurya wake! Joke!
Spacibo Bratan..Π‘ ΠΠΎΠ²ΡΠΌ Π³ΠΎΠ΄ΠΎΠΌ ΡΠ΅Π±Π΅ ΡΠΎΠΆΠ΅!!
Π’Ρ ΠΈΡΡΠ΅Π· Π²ΠΎΠΎΠ±ΡΠ΅...!!
Kumbe ulinidanganya ehee??Heeeeee afadhali ata mweza uniachie ivuga au utawamiliki wote? Ulivo na uroho
Ushampata tu usjali huyo ni mpambanaji japo muoga maana kashindwa kuja pm kamwaga mchele. Watu Naona wamemsaidia sana. Upo vizuri Mzigua90hahahaaa. Hamtaki kabisa nipate mchumba humu jamani
Tutawaalika wote JF familySawa ikifika siku ya mchele kadi mhimu ili tupige kelele za uhakika
Uoga tu lakiniNdio anaogopa vyura huwa wanaishi sana kwenye maji
Teh teh..Bwegemtozeni huyo..Acha apigwe
Hongera lakini umependwa.Uoga tu lakini
Kadi si umezishika wewe baby..Kachukue tuTanguliza kwangu kwanza bby [emoji2][emoji2]
Sawa ila Mimi nafaa kuwa getini kuna watu hawataruhusiwa kuingia maana najua wakiingia watavuruga utaratibuTutawaalika wote JF family
Ni uzembe. Mwanaume kukataliwa sio jambo baya ni ajali kazini tu.Unajua uoga huwa unajijenga kiimani zaidi yaani kabla huja mtongoza unajipa majibu ya kuwa hawezi kunikubalia na hapo usha jiwekea jibu moyoni kuwa hawezi kuwa wangu
Na hii ndo inatunyima kupata warembo tunao penda kuwa nao