Niokoeni jamani nimeanza kumpenda Mzigua90

Niokoeni jamani nimeanza kumpenda Mzigua90

Haya mambo ya thread thread sio ishu, nenda pm mwambie "bibie nna kisalio hapa nataka nikutumie upate lunch , sijui niitume vipi mama" Mzigua90 nae ana moyo lazma moyo utalegea atakupa namba ukifanya muamala itapendeza, hadi hapo mpira upo ndani ya box. Mnakompliketisha mambo
Sasa hii thread itaishia kukupa likes tu
PM mmezifunga mkuu
 
Hahahahhaaaa.. nina wachawi wengi sana mimi nimegundua.
Wewe una wazimu kweli, kwani sie madushe yetu yamekufa? Uliambiwa mpende jirani yako kama unavyojipenda. Hivyo unaanzia kwako ndipo mwingine naye afaidi
 
Back
Top Bottom