Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Ya wivuuuuu [emoji23][emoji23]roho ganii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya wivuuuuu [emoji23][emoji23]roho ganii?
Ohooo apo apo tena umemzimikia wako ha ha ha haaWanaume kama wewe ndo nawapenda
Mkuu saidia maono anaeza kua sio bina adam?Hilo jicho la mzigua mm huwa na mashaka nalo sana mkuu jipange..
hahaaJiheshimu mkuu
Ukipewa nafasi ya kushika mguu utaweza mana raha ya chabo wenyewe wasijui ndo kuinjoi vitukoSana tu yani nlikua teja wa chabo
Kweli kabisaKweli twapishana.
Teh teh..Umeingia cha kichina bro..Subiri Ma kung fu tuNimeahafanya majaribio kwake nione kama itatiki wee subiri ntakupa mrejesho
Teh teh..PonyalHha ha ha. Eta shutka bratan.
Heheeeeee nipo siti ya mbele katika hiki ki-bifuJiheshimu mkuu
Yeah raha ya chabo uwe kwenye expansion joints, kitasa au usogeze pazia na kijiti cha chelewaUkipewa nafasi ya kushika mguu utaweza mana raha ya chabo wenyewe wasijui ndo kuinjoi vituko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dahYeah raha ya chabo uwe kwenye expansion joints, kitasa au usogeze pazia na kijiti cha chelewa
😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] dah
Na. Ukubwa huu mtu asijichanganye japo noma sana kwa sasa
Nimecheka sana ile post yako naweza blokiwa hadi ana kwa anaTeh teh..Umeingia cha kichina bro..Subiri Ma kung fu tu
Hujanitendea haki....Niniii.. halafu mi kibibi usiniite mtoto
Teh teh..Bro kumvua chupi Evelyn Salt sio jambo dogo..Hasikudanganye na hizo comments zake..Utakula blokuNimecheka sana ile post yako naweza bolkiwa hasi ana ana
Mana hawa watu mpaka avie chupi ndo uje kakubali wana chenga za maudhi khataari sana kama hataki
Aibu yake sasa ukibambwa mana udogoni unatoka nduki tu bila kujali itakuaje ha ha haaa😀😀
Mi napiga chabo tu yeyote atajaejichanganya
Hao wa hivyo najua utukutu wao wala sio wepesi ndo nikasema ni mpaka atakeTeh teh..Bro kumvua chupi Evelyn Salt sio jambo dogo..Hasikudanganye na hizo comments zake..Utakula bloku
Haya mambo ya thread thread sio ishu, nenda pm mwambie "bibie nna kisalio hapa nataka nikutumie upate lunch , sijui niitume vipi mama" Mzigua90 nae ana moyo lazma moyo utalegea atakupa namba ukifanya muamala itapendeza, hadi hapo mpira upo ndani ya box. Mnakompliketisha mambo
Sasa hii thread itaishia kukupa likes tu