Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,008
Weeee acha bhanaNgoja nije nikuanzishie uzi kama huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weeee acha bhanaNgoja nije nikuanzishie uzi kama huu
Sijambo....naona umepotea kabisaHujambo?
Heee ww ni memba [HASHTAG]#65641[/HASHTAG] ulijiunga lini?Hapana inahitajika ziwe nyingi
Upendo ni km imani. Kwahiyo usishangae unapoona watu wanajiua kwasbb ya mapenziHivi kwanini sisi Wanaume Tunapenda Penda Hovyo Watu Tusio Wajua? Wewe Limtu Hulijui Hujawahi Liona Wala Kulisikia Sauti Afu Unajikuta Tu Unalipenda Khaaaa! Utapenda Majini Mzee Baba.
Angalia umerudi leo wakati ilitakiwa umalize zoezi janaHahahaha uwiii acha hizo
umeshamtafuta pm au unasumbua sumbua tu watu hapa kushika mapembe?Wapambe kuwasha vibatari hata katika jua kali
alikuwa hana?atimae mzingua bint wa handeni kapata mchumba [emoji23][emoji23][emoji23]
Angekuwa nae asingekaribisha mwinginealikuwa hana?
Matumizi sasa uanze kutuma bby.Saafi naona bichwa langu linaongezeka ghafla ,tulia tuwaprove wrong
Kwa kweli Mungu wetu sote.atimae mzingua bint wa handeni kapata mchumba [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaaa. Naona anaogopa kuja pm wakati mi sitamnyima mahusiano.umeshamtafuta pm au unasumbua sumbua tu watu hapa kushika mapembe?