malaika kama hao wasio na dhambi kwanini wanateseka? upo pahala gani labda naweza kukupa msaada ndugu.mimi nipo mombasa next week nakuja tz
katika mambo yahusuyo mateso ya malaika hao we unaleta mambo za kuchekacheka , shame on you
Yule aliyemwambia aende kanisani kwa maombi hukuona km anatania?
Teh teh teh
we ulitaka aende kwa mganga ?
katika mambo yahusuyo mateso ya malaika hao we unaleta mambo za kuchekacheka , shame on you
Hakika nifurahi saaana jinsi mnavyo corporate kutoa ushauri kwenye suala la msingi kama hili ingawa kuna wachache bao wanaleta utani.......BIG UP GUYS....
ww hujui kule kuna bigwa wa magonjwa yote ambayo utazunguka kote hutapata dawa ya kupona ila kumkili tu bwana kuwa ni mwokozi wa magonjwa yote uliyonayo nawe unapona ,basi kama huamini pole sana imani yako ni habayule aliyemwambia aende kanisani kwa maombi hukuona km anatania?
Teh teh teh
ww hujui kule kuna bigwa wa magonjwa yote ambayo utazunguka kote hutapata dawa ya kupona ila kumkili tu bwana kuwa ni mwokozi wa magonjwa yote uliyonayo nawe unapona ,basi kama huamini pole sana imani yako ni haba
Pole sana...tatizo la hao watoto liko kwenye damu (systemic) ngozi ina manfest tu. Ni vizuri akapata dawa za mishipa. Nashauri wapate broad spectrum antibiotics kama ceftriaxone na antifungal kama fluconazole. Topical aplication haina effect sana kwa sababu tatizo ni generalized.
asante sanaJamani kuna dawa Fulani hivi ukimpaka mtoto anabaki mayo IPO km chokaa nimesahau jina lake.. Mwanangu wa ujanani nilimpaka hii akapona ni ya maji so zaidi ya 2000 ngoja babake akija nitamuuliza
Pole kwa mapacha